Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,188
- 85,281
Hapana mkuu, ni kizanzibari
Hapana mkuu, ni kizanzibari
Ooouh...kumbe.Ni umama kwa mwanaume kuwa na ID mbili kwenye social network ambayo jina lako ni feki,avatar ni feki ukweli utabaki tu ni vigumu mtu kukujua mpaka muonane.
Ni kama mwanaume kujibandika papuchi na kujipaka lipstiki my thoughts are fucked but that is how I feel.Ooouh...kumbe.
Sasa kuna uhusiano gani ya umama , Id mbili na uanaume mkuu?
4D ndo nini ? Sema mnayabebea uzitoo hasa kwa member maarufu watu wanazan umaarufu ndo utakuwa na k tamu au dushe la asali kumbee ushyyuuuziii mtupu nishakutana na member hana hata ladhaa yani dushe lakee halina utraamu halina ladhaaaa so naona saiv ameshaikimbia mpaka I'd yakeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ubaki na hawa wakitaa unaowaona kila ck kuliko wa humu kwanza mpaka mje kujuana shughuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh..Mapenzi ni mapenzi tu, ukitumia ID nyingi au moja. Chagua mmoja tulia nae na mjuze ID zako zote, na nywila mpe. Huko ndio kupendana.
Mi hata siyaelewagi nayaona tu, sijui kichwa wala miguu, pengine kungekuwa na darasa huru kufundisha hayo mazaga humu jf.
Kijana anaenda kinyume na katiba ya chama. Unakumbuka gharama tulizotumia kumnunua?kuna nini apa....
Watu wanapata wapenzi popote, wapo hata wanaoanza kupendana msibani sembuse JFHivi kuna watu kweli wako serious wanatafuta wapenzi JF? na wanakua wapenzi like seriously ? Wonders shall never end hapa tanzania