Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Mara paaap huyu anayejiita Mother Confessor kumbe ni bwana GuDume
Na huyu anayejiita Demiss ni Mshana Jr
Na huyu wa kuitwa Madame B kumbe ni Mung Chris
Na Numbisa kumbe ni Joseverest
Huyu a kuitwa Madame S kumbe ni Da'Vinci
Mapenzi ya Jf mengi ni pasua kichwa.
1. Utafuatiliwa kila jukwaa ajue unaandika na kuchat na nani
2. Limit ya kuchat na flani
3. Mbaya zaidi ni pale anapowapa wanaume wa humu access ya kukutongoza pm ili ajue msimamo wako...jamani mtusameheage tu,
Wengine tumeumbwa hivyo, hakitupiti kitu jombaaaa!!!!
Mtakufa na presha!!!
I love you baby wangu wa humu Jf...new lover....siri yangu.
Nyakunyaku wengi.

Afu we Kanungila Karim nakuhitaji kule
 
Haha au yeye mwenyewe anakuja na I'd yake nyingine khaa watu wana kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya Jf mengi ni pasua kichwa.
1. Utafuatiliwa kila jukwaa ajue unaandika na kuchat na nani
2. Limit ya kuchat na flani
3. Mbaya zaidi ni pale anapowapa wanaume wa humu access ya kukutongoza pm ili ajue msimamo wako...jamani mtusameheage tu,
Wengine tumeumbwa hivyo, hakitupiti kitu jombaaaa!!!!
Mtakufa na presha!!!
I love you baby wangu wa humu Jf...new lover....siri yangu.
Nyakunyaku wengi.

Afu we Kanungila Karim nakuhitaji kule
Nimekutumia sms hazijibiwi nikadhani labda umeniBLOCK
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom