Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,160
- 85,155
Babe, bila shaka watakua ni Moro Jazz Band
Babe, bila shaka watakua ni Moro Jazz Band
Mapenzi ya Jf mengi ni pasua kichwa.Mara paaap huyu anayejiita Mother Confessor kumbe ni bwana GuDume
Na huyu anayejiita Demiss ni Mshana Jr
Na huyu wa kuitwa Madame B kumbe ni Mung Chris
Na Numbisa kumbe ni Joseverest
Huyu a kuitwa Madame S kumbe ni Da'Vinci
Haha au yeye mwenyewe anakuja na I'd yake nyingine khaa watu wana kaziMapenzi ya Jf mengi ni pasua kichwa.
1. Utafuatiliwa kila jukwaa ajue unaandika na kuchat na nani
2. Limit ya kuchat na flani
3. Mbaya zaidi ni pale anapowapa wanaume wa humu access ya kukutongoza pm ili ajue msimamo wako...jamani mtusameheage tu,
Wengine tumeumbwa hivyo, hakitupiti kitu jombaaaa!!!!
Mtakufa na presha!!!
I love you baby wangu wa humu Jf...new lover....siri yangu.
Nyakunyaku wengi.
Afu we Kanungila Karim nakuhitaji kule
....We amini ivo da Khantwe, mimi ni maarufu sana Jey Efu ila sio kwa hii ID.
Hayaa....We amini ivo da Khantwe, mimi ni maarufu sana Jey Efu ila sio kwa hii ID.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume ni watu wa kuhaha sana.Haha au yeye mwenyewe anakuja na I'd yake nyingine khaa watu wana kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kishamba sanaWanaume ni watu wa kuhaha sana.
Unanitaka afu unanipa limit....chaaaaaa!!!!
Mwanaume anafungua Id mpya ili atest mitambo.
Hahahah
Afu tukisema wanaume siku zote hawakui, wanakataa
Nimekutumia sms hazijibiwi nikadhani labda umeniBLOCKMapenzi ya Jf mengi ni pasua kichwa.
1. Utafuatiliwa kila jukwaa ajue unaandika na kuchat na nani
2. Limit ya kuchat na flani
3. Mbaya zaidi ni pale anapowapa wanaume wa humu access ya kukutongoza pm ili ajue msimamo wako...jamani mtusameheage tu,
Wengine tumeumbwa hivyo, hakitupiti kitu jombaaaa!!!!
Mtakufa na presha!!!
I love you baby wangu wa humu Jf...new lover....siri yangu.
Nyakunyaku wengi.
Afu we Kanungila Karim nakuhitaji kule
Naanzaje kukupa block?Nimekutumia sms hazijibiwi nikadhani labda umeniBLOCK
NakujaNaanzaje kukupa block?
Njoo..
Ok guy...Nakuja