Training si mpaka mtu aombe kazi na iapate kwanza au siku hizi zinatufata hukuhuku majumbani....@Shunie huyu mtu anahitaji training.
Kwamba hujawahi kusikia story za gilesi humu jukwaani?Gilesi ni nani huyu?
JamaniNot to zet exzitent
Gilesi alileta patashika humu
Gilesi alileta patashika humu
Mapenzi ni mapenzi tu, ukitumia ID nyingi au moja. Chagua mmoja tulia nae na mjuze ID zako zote, na nywila mpe. Huko ndio kupendana.
Mkuu utasababisha vita ya dunia wewe.
Mengi yasiwe mamboMambo yasiwe mengi.
naanza kukufikiria sasaAnko wangu huwezi kufa mm nipo kwa ajili yako