Unapoamka ukakutana na taswira hii...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Ujue.... uploadfromtaptalk1347208273946.jpg uploadfromtaptalk1347208297053.jpg uploadfromtaptalk1347208319919.jpg
 
na bado watakuchana hadi wewe chezeiya vibaka wazoefu weyee.

Pole lakin ndo ulipopachagua kukaa so usilalame maana uliniiga mim kisa meolewa na jg wakt maama alikuambia ubaki home kwanza
 
Shem Judgement..kwa niaba ya jirani naomba niseme asante.
Pia naomba umueleweshe mtoto wa geti kali, mbwa mkali na mmasai juu bidada Preta maana ya picha hizo.

ha ha ha.....unanisema nini....
usiku wa kuamkia jana kuna kibaka alitaka kutuletea za kuleta....manane mpuuzi anataka kuchukua jasho letu.....kwa sababu nilikuwa na dume ndani.....walimalizana wenyewe......
 
Last edited by a moderator:
Ewaaaaa! Kumbe dada angu ushakua? Ulivunja lini ungo? Na hiyo tabia mahari tutapata ya kutosha kweli? Kiruuu!

Ameshavunja ungo kama tano mpaka mama yake ameamua kununua trei kubwa walitumie badala ya ungo.au unamaanisha ungo gani siwakupetea mchele nk?
 
Ameshavunja ungo kama tano mpaka mama yake ameamua kununua trei kubwa walitumie badala ya ungo.au unamaanisha ungo gani siwakupetea mchele nk?
Hahahahahahahahaaaa!!!!!!u made my day!!!!:mwaaah:
 
Back
Top Bottom