mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,936
- 5,300
wanafamilia wa jf amani iwe kwenu,wiki hii hii dhana ya kua rais wa wa wanyonge halafu hapo hapo ukiwa unamini kua kila mtu abebe msalaba wake imenitatiza kidogo.yani nashindwa kuelewa kama hizo thana mbili zinaweza fanya kazi pamoja.
Wanyonge hua na shida kadhaa,yaweza kua chakula,afya,na elimu.na vyote hivi mara nyingi huchangiwana na sababu za kijiografia au historia,sasa inapokuja kwamba kila mtu abebe msalaba wake inanitatiza kidogo.
watalamu wa nadharia mbalimbali za kijamii tusaidiane ufafanuzi wa hili.zingatia simjaribu mtu katika hili.