Unapo safiri na mtumbwi majini/usiache boya(Life jacket)

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
Nawasalimia nyote, ninachotaka kuzungumzia hapa ni usafiri wa mitumbwi wa kutumia injini, joshi na aidha kasia hivi vyaweza kuwa kundi moja ukiviacha Feli na Meli.

Unapo safiri kwa mara ya kwanza/pili unaitajika ufanye maandalizi ya kujihami usipatwe na kizunguzungu kutokana na msukosuko wa mawimbi.

(1)Akikisha haujashiba= kushiba huku kwaweza kukusababisha kutapika haraka na hata kuitaji kwenda haja kubwa.(2)Vitu kama chai ya ustrungi inaongeza kichefuchefu wakati wa safari yako.

Ni vyema jiandae na huwe unatumia pipi kukupunguzia matatizo hayo.

MENGINEYO: Usiwe mwepesi wa kutamka au kuwaambia wengine kwa kila unachokiona, yawezekana hicho unachokiona umekiona wewe tu, mfano mtu/maiti.

Safari za majini zina mambo mengi, Pamoja na kuwa ni muhimu sana kuvaa boya(Life jacket) huwe makini kutokuwa mbali na chombo inapotokea bahati mbaya chombo kikizama huwa kinaenda kumwaga mzigo na baadaye kinaibuka tena. Huyu Raisi mtarajiwa alitumia chombo hivi karibuni!
 
Hii story itakuwa inatokana na safari Lissu kwenda huko Ukerewe kwa mtumbwi 'nahisi'.
 
Back
Top Bottom