Sijaelewa mbona sura za akina mama hawa zinafanana na wastaafu wa EAC??? Ni watumishi wa wizara ya mambo ya ndani kweli!! Au ni mama ntilie wanaouza vyakula maeneo ya karibu pale!! Umri na mwonekano wao ndivyo vimenishtua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.