Huyo ni kwenye ice ageSijui anaitwa Nani Ila hyo nazi ndyo humponza Sana
Kuna huyo na Oscar Oasis
hata katika maisha halisi anaipenda sana hiyo mbegu, ni kama paka na samaki.Hivi hilo tunda lina nini ndani yake au Lina faida gani...!!???
Maana mwanzo wa filamu hadi mwisho analikimbiza hata likiingia kwenye theluji yuko radhi agande.
Huyu sio kama shida anajitakia mwenyewe .......
Na hayakogo mengi haya matunda eeehhhh......
huyu jamaa nayeye na wale wenzie ndio wanamuongezea kibano.
Thats Oscar, nikiicheki hii katuni jinsi wenzake wanavyompa kibanohuyu jamaa nayeye na wale wenzie ndio wanamuongezea kibano.
Oscar kazidi sijawahi kumuona katuliaSijui anaitwa Nani Ila hyo nazi ndyo humponza Sana
Kuna huyo na Oscar Oasis
Nikimuona lazima nicheke, hapo nilipo nacheka
Ice ageHiyo series inaitwaje? Nilibahatika tu kuiona kidogo kwa jilani nilikuwa na haraka nataka niitafute
kafika adi angani kisa hilo tunda
bora yule kidogo hajatesek Kam hawa wawil Oscar n uyo mwenzieCaptain smek mmemuacha wapi na yule baba kwenye Croods