Unapendelea matibabu kwa njia gani sindano au vidonge?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
270,918
1,106,884
19122154_1189932247819188_1252489347723165696_n.jpg
 
Kama nikipata doctor mzuri anae jua kuchoma sindano bora sindano.
 
Sindano inauma muda mfupi..na inafanya kazi haraka(ingawa inategemea unaumwa nini) ..vidonge navyo dah unaweza sahau kumaliza dozi ukishaanza kuona dalili za kupona..I prefer sindano
 
Mmmmmh sindano haijawahi kuniacha Salama maana lazima nivimbe. Hivyo dawa ya vidonge nameza hata bila maji
 
Back
Top Bottom