Unapendelea kutizama Chombo gani cha Habari cha Kimataifa?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Binafsi napenda Kutizama AL JAZEERA TELEVISON,naweza kuwatizama kuanzia Asubuhi mpaka usiku habari zao hazichoshi,Wako wazi,hawana madoido ambayo hayana Msingi wao ni habari 24/7.

Tushirikishane wewe unapendelea kutizama chombo gani cha Habari cha kimataifa?karibu.
 
All Jazeera kaka hawana mipaka wanafukua mpaka yaliyoko uvunguni
 
Binafsi napenda Kutizama AL JAZEERA TELEVISON,naweza kuwatizama kuanzia Asubuhi mpaka usiku habari zao hazichoshi,Wako wazi,hawana madoido ambayo hayana Msingi wao ni habari 24/7.

Tushirikishane wewe unapendelea kutizama chombo gani cha Habari cha kimataifa?karibu.

Kumbe tunapishana sana Mkuu kwani Mimi napenda mno kuangalia PONO NEWS TV 24/7 ili niweze kuhabarika vizuri.
 
Back
Top Bottom