Unapenda MOVIES? (SESSION 03) Usikose hizi wiki hii...

Truth or dare ni ya ukweli na What happened to Monday nimeipenda pia the ring nimeielewa sana kiufup unajua sana kusimulia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nasikitika kusema kwamba sijafanikiwa kabisa kupata app ya kudownload movie kwa sim, naona na hz zinanipita kama zile za exam
 
Weweeee! Mzee huo mwisho wake ndo ulofanya filamu hiyo iwe kali maana ni bonge moja la TWIST! ... Jamaa alikuwa anahangaika kumtafuta mtu ambaye hayupo na kumbe yeye ndiye mgonjwa nambari 67 wa hiyo taasisi ya akili, ugonjwa ambao ulipelekea ajitengenezee picha mpya kwa kutokukubaliana na ukweli kuwa alihusika na kifo na mkewe na hata pia cha watoto wake kwa kutochukua hatua mapema kuhusu uchizi wa mkewe.

Wale wote waliokuwamo ndani wakawa wanajua jamaa ni mgonjwa wa akili isipokuwa yeye tu, na mpaka kule.mwishoni anapofunguliwa macho kwa kuambiwa majina yenyewe anayoyajua yeye ni yamegeuzwageuzwa tu herufi (anagram). So walimpa chance waone kama atarudi kwenye maisha yake halisi lakini ikaonekana imeshindikana na hivyo basi inabidi awe 'lobotomised'.

Na ndiyo maana mwishoni kabisa anamwambia yule Dr Shehan kwamba ni kheri afe kama mtu mwema kuliko kuishi kama dubwana akimaanisha ni kheri akawe lobotomised kama Teddy ambaye alikuwa ni afisa wa serikali kuliko akubali kurudi kuwa yeye halisi ambaye ni Andrew anayehusika na mauaji ya familia yake!


Mzee hii filamu ni bora sbb ya mwisho wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni bonge la movie. Inafika muda hata wewe mwangalia movie I unashindwa kujua kuwa mtu mzima De Caprio ni afisa upelelezi au mgonjwa wa akili. Mpaka mwisho wa game ndo unang'amua ukweli.
 
Mzee ile papillon hipo njema


Hiko njema Sana nahipa 98% papillon ndiyo movie ninazopenda kucheka Always

Lete nyingine mzee maana kuzitafuta ni shida kwa mwezi unaweza kupata moja tu

Hila Kuna hii nayo inaitwa Extraction 2020 nayo ni shida Sana
 
Mkuu hii ni bonge la movie. Inafika muda hata wewe mwangalia movie I unashindwa kujua kuwa mtu mzima De Caprio ni afisa upelelezi au mgonjwa wa akili. Mpaka mwisho wa game ndo unang'amua ukweli.
Kweli, mzee. Yani unabaki njia panda ya kimawazo. Mwisho wake ndo umefanya watu kujiona walikuwa wajinga muda wote huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee ile papillon hipo njema


Hiko njema Sana nahipa 98% papillon ndiyo movie ninazopenda kucheka Always

Lete nyingine mzee maana kuzitafuta ni shida kwa mwezi unaweza kupata moja tu

Hila Kuna hii nayo inaitwa Extraction 2020 nayo ni shida Sana
Hiyo ni mpya kabisa. Ndani kuna mikono hatari! ... vipi umeshatazama uzi wa session 03? Kuna movies zingine kule...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Truth or dare ingekuwa ni kitu cha ukweli watu tungeacha kuchepuka maana lijamaa humo lilikuwa lina waumbua watu na ukikataa kusema ukweli unakufa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom