Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

Mkuu weka majina horror movies zingine maana huu ugonjwa wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia kidogo hapa

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, tafuta pia na "The Hunger Games". Kama uliipenda Maze Runner utaipenda na hiyo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukipata time cheki vivarium ni movie kali kama majamaa wamestuck kwenye neighborhood yenye nyumba zilizo fanana na hawajui wanatoka vipi
enfantduparadiso-20200401-0001.jpg
the_stricken_land-20200401-0001.jpg
 
Kudos mkuu..uzi makini kwa sisi wapenda movie,nimependa maelezo yako yanayotia hamasa ya kutafuta movie husika.binafsi nikiri wazi mimi ni mmoja wa watu wanaohusudu sana hizi "horror" movies...kwa bahati mbaya katika hizo ulizotaja nimeangalia mbili tu..
Umenitia hamasa ya kutafuta hizo nyingine..
Karibu sana mkuu. Tazana pia na post #45 kwa horrors zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMDb, Rotten Tomatoes na mwenzao Metacritic sio wa kuwaamini sana mkuu, watakuingiza chaka mara kibao tu. Wana aina fulani ya movies zao ambazo zinaweza zikawa si taste yako.

Ni aina gani ya movies wapendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Westren movies, Animations, Action movies(story yake iwe imeshiba) and Science Finction.
 
Asante sana mkuu wacha nianze kupakua moja baada ya nyingine
Pitia kidogo hapa

1. Pet sematary - imekuwa inspired na Novel ya Steph King. Niliipenda idea yake ya eneo la ajabu ambalo hutumika kuzikia wanyama wa ndani (pets) kisha wanyama hao hurudi kuwa hai tena lakini katika namna ya ajabu kabisa. Shida inakuja pale familia moja ilipoamua kumzika mtoto wao mdogo hapo sababu ya kutokuwa tayari kumpoteza, matokeo yake familia nzima ikajikuta ardhini!

2. The Others - achilia mbali wazo lilizoeleka la nyumba fulani kufuatwa na mizimu na roho za ajabu, humu kilichonifurahisha ni muda wote nlokuwa natazama movie kumbe nilikuwa najiongopea, maana niliyekuwa namdhania ndiye akiteseka na mizimu, kumbe yeye ndiye mzimu wenyewe. Na wale waliokuwa wanadhaniwa ni mizimu ndo binadamu walokuwa wanakuja ndani ya nyumba hiyo.

3. The Orphan - familia moja iliyopoteza mtoto wao kichanga tumboni inaamua kum-adopt yatima wamlelee kama mtoto wao, ajabu ni kwamba mtoto huyo si mtoto bali ni mwanamke mwenye miaka 33 ila kutokana na matatizo ya hormones na pia make-ups amefanikiwa kujiweka kama mtoto. Mbali na hapo, anayeshuhudia mambo ya ajabu anayofanya yatima huyo ni mtoto bubu, kuhadithia hawezi akaeleweka.

4. The sixth sense - hapa mwanasaikolojia wa watoto anahangaika kumsaidia mtoto ambaye anajinasibu kuwa na uwezo wa kuona watu waliokufa. Haamini katika haya mambo lakini baadae anaanza kuamini anachosema.mtoto huyo lakini shida inakuja kwamba, mwanasaikolojia huyo naye alikuwa tayari ameshakufa na ndo mana akawa ana uwezo wa kuzungumza na huyo dogo. si mchezo humo!

5. Get Out - nilipenda idea yao ya ku-transform mambo ya racism kwenda kwenye horror ambapo familia moja inamtumia binti yao kama chambo cha kuwavuta wanaume weusi nyumbani kwao ili wapate kuwafanyia surgery na kuwawekea ubongo wa wazungu wazee ama walemavu! Yani humo inaitwa kuingia ni BURE ila kutoka na roho yako sasa ndo KISANGA chenyewe!

6. The Visit - hapa watoto walikwenda kutembelea babu na bibi yao kwa mara ya kwanza kabisa ingali mama akiwa vacation. Watoto hawa wanaona vitu vya ajabu ajabu wakiwa huko. Baadae mama anakuja gundua kuna kitu hakipo sawa baada ya kuona picha za watoto wake na bibi na babu hao wanaoishi nao. Hakuwa anawatambua kama wazazi wake. Hakuwa anawajua kabisa! Na kumbe bibi na babu halisi walishakufa. Hao waliopo ni wagonjwa waliotoroka hospitali ya vichaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna movie naitafuta ila siikumbuki vyema niliangalia muda kidogo.

Iko hivi kuna kama mji ulitelekezwa na ukawekewa uzio kwamba hakuna anayeruhusiwa kuusogelea umetandwa na maji hivi (swamp)
Sasa inaanza kuna madogo wawili mmoja anavaa miwani siku hiyo jioni wakaamua kwenda. Kufika pale kuingia ndani ya jengo moja wapo wakakuta kuna sauti zinawaita kufata wakakuta kuna mtu amefungwa. Dogo mmoja yule asiyevaa miwani akamfungulia. Baada ya kumfungulia yule aliyefunguliwa akamuua yule dogo kwa kumchana mdomo.
Yule dogo mwenye miwani akakimbia. Ule mji ukaja ukafunikwa wote na maji. Kukawa na kama ziwa hivi lakini bado kukawa na mauzauza hapo ziwani na kwenye kijiji cha jirani.
Niliingalia muda kidogo nafikiri 2009.
 
Similar Discussions

38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom