Mayova Senior Member May 10, 2018 182 123 May 28, 2021 #41 Mboga ya majani ya maharage ndo yenyewe sasa
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,602 112,658 Jun 11, 2021 #44 cool d said: Kisamvu ni sumu na haina faida, mboga gani ya kuchemsha muda mrefu Kama nyama. Click to expand... Watokea kaskazini nini 😁 Kanda hiyo na kisamvu ni maji na mafuta
cool d said: Kisamvu ni sumu na haina faida, mboga gani ya kuchemsha muda mrefu Kama nyama. Click to expand... Watokea kaskazini nini 😁 Kanda hiyo na kisamvu ni maji na mafuta
Heaven Sent JF-Expert Member Sep 27, 2013 31,974 95,475 Jun 25, 2021 #47 Je ukipika mwenyewe chainizi ? Khantwe said: Figiri Majani ya maboga Matembele Chinese apike mtu mwingine Click to expand...
Je ukipika mwenyewe chainizi ? Khantwe said: Figiri Majani ya maboga Matembele Chinese apike mtu mwingine Click to expand...
Khantwe JF-Expert Member Dec 20, 2012 59,410 119,112 Jun 26, 2021 #48 Heaven Sent said: Je ukipika mwenyewe chainizi ? Click to expand... Siitaki kabisa na huwezi kuniona nainunua
Heaven Sent said: Je ukipika mwenyewe chainizi ? Click to expand... Siitaki kabisa na huwezi kuniona nainunua