Unapenda kusikiliza Album gani?

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
Maisha na muziki hakuna mtu asiyependa kusikiliza muziki ila tunatofautiana kuna wanaopenda hiphop,rnb,pop,reggae,gospel, etc.

Tuambie unapenda album gan ya mziki? Na ni ya msanii gani ili na sisi tuitafute tusikilize.

Mimi ninapenda kusikiliza album ya Drake-Nothing Was The Same ya 2013
IMG_6387.JPG
IMG_6388.JPG
 
Zipo nyingi jcole kod forest hill drive kendrick good kid mad city na damn, one the incredible soga za mzawa niki mbishi sauti ya jogoo stereo African son billie eilish when we all fall a sleep .... kwa uchache
 
Good kid maad city ya kendrick ni masta piece, kendrick haji kuwa na album kama hyo
 
Maisha na muziki hakuna mtu asiyependa kusikiliza muziki ila tunatofautiana kuna wanaopenda hiphop,rnb,pop,reggae,gospel, etc.

Tuambie unapenda album gan ya mziki? Na ni ya msanii gani ili na sisi tuitafute tusikilize.

Mimi ninapenda kusikiliza album ya Drake-Nothing Was The Same ya 2013
View attachment 1161476View attachment 1161477
Ngoja hii nikaitafute.

Kwa sasa naipenda zaidi album ya chris brown "X" ya 2014
 
samahani Mkuu.
ukiandika kauli za kishujaa kama hizi usisahau kumalizia na the phrase, "...in my opinion."

usijepigwa "Killshot" na ww tukakusahau.

Hahahaha mkuu ni kwamba generation ya kina em imepita sahv tunaona akina drake, kendrick wanasumbua. Mumble rap imetawala sana sahv
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom