Unapenda kupata ujuzi huu na wewe uanze kujiingizia kipato kupitia simu/Laptop yako?

Bakery (Unatengeneza Keki, Mikate, Bites n.k)

Network Marketing (Biashara Ya Mtandao) mf; EDMARK, NEOLIFE, BF SUMA, AIM GLOBAL, SUPER-LIFE n.k.

Graphics Designing

Au biashara yoyote inayohitaji mitandao ya kijamii.

Na unapata wakati mgumu wa namna ya kupata wateja wa kutosha kwenye biashara yako kupitia mitandao ya kijamii mfano Facebook & Instagram?

Vipi umeshaingia kwenye mafunzo mengi lakini hakuna chochote ambacho ulikielewa kwasababu mwalimu wako hakukupa muda wa kukushika mkono vyema kukuelewesha kwa usahihi namna ya kufanya biashara yako kwenye mitandao ya kijamii?

Kama majibu ya maswali haya yote unaona yanakugusa wewe na ni kweli umeshapoteza fedha nyingi lakini unapenda kufanya biashara kitaalamu kwenye mitandao ya kijamii na kupata matokeo makubwa basi fanya hili.

Comment namba yako Chini au njoo inbox na ucomment namba yako.

Mimi nitakupigia simu na tutazungumza namna ya kuanza program yako vyema na kurudisha fedha zako ambazo umeshazipoteza kwenye mafunzo yako mengine ambayo hayajakupatia matokeo yoyote mazuri.

Au unaweza nitafuta kupitia namba hizi 0678010334/ 0753616584

Pia unaweza pitia DOCUMENT hiiView attachment DIGITAL MARKETING COURSE-OUTLINE.pdf

View attachment ONLINE SEMINAR (AutoRecovered)(1).pdf.pdf
 
Na wewe unaamini kwenye hizo network market?

Ndio maana uzi wako hauna wachangiaji... Watu wameupita kama hawajauona
 
Back
Top Bottom