emmadizzo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,338
- 1,433
Mi ninalo kovu mkononi limeshonwa nyuzi vp io dawa inaweza kufuta.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol... inaweza but will take forever mpk kuisha.Mi ninalo kovu mkononi limeshonwa nyuzi vp io dawa inaweza kufuta.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, ila inategemea na ukubwa wa kovu pia inaweza chukua muda mrefu kidogo.Mi ninalo kovu mkononi limeshonwa nyuzi vp io dawa inaweza kufuta.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je mkuu hutibu au hutuliza kimbunga cha madoa kwa mda alafu baada ya kumaliza dozi ya mafuta kurud tena?
Tunapatikana Mbande Chamazi lakini tuna huduma ya kufanya delivery kwa Dsm nzima.Unapatikana wap?
naomba utaje dawa mkuu naweza google nione inatolewa kwa dalili zipiKAUMZA dear kamuone dokta, kuna daktari mmoja yuko Aga khan anaitwa Prof Mng'onda.. he is the best....
Yaani mimi nimewahi kuwa na chunusi, hapa ninapoongea imebaki historia, inabidi uwe mvumilivu matokeo utayaona mie ilinichukua 8weeks..na wakati niko pale nilianza matibabu na dada mmoja hali kama yako... nilipokuja kukutana nae tena sikuamini changes zake.
Huwa anakua Regency na Aga Khan, mie naongelea kutokana na uzoefu, ningekutajia dawa lakini inawezekana chanzo cha tatizo kwangu ni tofauti na kwako. Ila mtafute.. wish u all the best
Nimezisahau jina, ilikua tube na vidonge nilipewa.....naomba utaje dawa mkuu naweza google nione inatolewa kwa dalili zipi