...Unapenda Kukutana NAMI uso kwa uso....?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Husika na kichwa cha habari..kama jibu ndiyo..na upo maeneo ya ubungo...jongea eneo la ubungo ingia stand ya Daladala..nyoosha mpaka sehemu wanayopaki Magari ya Gongo la mboto...ukifika hapo Nipm.

Hata usipo nipm utaona kuna njemba imevimba..usiogope nistue tu.
 
Akhu babu wee,
Mambo ya kwenda Kuliwa Uroda wa bure na kigiza hiki nani anataka!
Tupishe sie.
 
Nimekuona kweli dah!! Nasubiria daladala za suka nigombanie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom