zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Husika na kichwa cha habari..kama jibu ndiyo..na upo maeneo ya ubungo...jongea eneo la ubungo ingia stand ya Daladala..nyoosha mpaka sehemu wanayopaki Magari ya Gongo la mboto...ukifika hapo Nipm.
Hata usipo nipm utaona kuna njemba imevimba..usiogope nistue tu.
Hata usipo nipm utaona kuna njemba imevimba..usiogope nistue tu.