Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Miongoni mwa mambo yanayonifurahisha sana hapa Jf ni vidubwasa hivi..... kipindi cha nyuma vilikuwa vingi sana sasa sijui wamevipeleka wapi vingine..... kati ya hivi wewe unapenda zaidi kidubwasha gani? Au waturudishie vile vya mwanzo vyenye makeke ya kila aina