Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,327
- 10,943
Wahanga walionya kua usichopenda kufanyiwa na mwenzio basiujue na mwenzio hapendi umfanyie kitu hicho.
Japokua binaadamu ni kiumbe mpenda sifa lakini hakuna anaependa kupewa sifa ya umalaya.
Sijajua tunatumia vigezo gani kupeana sifa hii, kama ni kweli kama tunavyo kalilishwa kua "malaya" niyule anaetoka/ aliyewahi toka na mpenzi zaidi ya mmoja, je nani anaeweza kukikwepa kikombe hichi? Hivi yupo mmoja wetu katiyetu sisi huku MMU, JF na jamii kiujumla asie wahi badili mpenzi zaidi ya mmoja?
(Yaani tangu aijue starehe hile hajawahi badili ladha nyingine zaidi ya hiyo aliyo nayo kwa sasa) kama yupo mtu huyo huyo anyoshe kidole juu.
Sasa kwanini tunadhubutu kunyoosheana kidole na kuitana "malaya"? Unaupata wapi ujasiri wakumuita mwenzeko"MALAYA"Mwisho.JIFANYEKAMA HAUONI, ILI UISHI VIZURI NA WAPINZANI.