Unapaswa kumshukuru sana Mungu

Majaribio anataka kuvumbua nini asichokijua? Umletee mtu duniani bila ridhaa yake umpe mateso hlf useme unamjaribu? Ni kama vile hana uhakika na kiumbe alichokiumba.
Kila mtu ana dini yake..wakristu, waislamu , Hindu na nyingine nyingi. Kama Mungu ni mmoja why tutofautiane na kupingana? Haiingii akilini
Umeandika yote haya kwa ajili ya ubishi tu!
Ila sasa hivi hapo ulipo kama ukijikwaa tu utataja "Mungu wangu"
 
Mungu gani huyo akulaze hospital muda wote huo halafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yaani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu

Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajali, upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako, wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote

Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
GOD is GOOD my friend
 
baki na fikra zako
 
Back
Top Bottom