Unapaswa kumshukuru sana Mungu

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Kwa kijana huyu kulala hospitali kwa miaka minane tena akila na kunywa kwa kutumia mrija,ni suala ambalo linatukumbusha sana juu ya kumcha,kumtukuza na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote anayoyafanya.

Kukosa leo,usijute na wala usilaani. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.

Je, ni jambo gani kubwa ambalo Mungu aliwahi kukuokoa kwako ambalo hadi leo limebakia kuwa funzo kwako?

Mimi ni ajali ya gari hapo Mbagala kizuiani,sitaisahau 2009.

20201006_064507.jpg
 
Mi naamini binadamu Kuna walio umbwa na material Bora na wengine material ya sample. Maana tumetofautiana kuanzia afya, mpaka uchumi.
 
Mungu gani huyo akulaze hospitali muda wote huo halafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yaani mtu aponywe na madaktari halafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni stori tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa Mungu wala shetani wala Yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu

Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo Mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajali, upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako, wazazi wako hawako tayari kuona unapata yote hayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote

Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa Mungu ni kutoshughulisha akili yako
 
Mkuu endelea kuamini hivyo tu, Ila ipo siku wewe mwenyewe utapita na kutangaza kwamba Mungu yupo na umeuona uweza wake.
 
Mungu gani huyo akulaze hospital mda wote huo harafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu ,
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajari , upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako , wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
Mkuu endelea kuamini hivyo tu, Ila ipo siku wewe mwenyewe utapita na kutangaza kwamba Mungu yupo na umeuona uweza wake.
 
Acha unafiki mkuu!. Mungu ndio anapaswa kutuomba msamaha kwa kutuumba bila ridhaa yetu.
Maisha yetu yana akisi makosa makubwa sana aliyotenda muumbaji
 
Mungu gani huyo akulaze hospital mda wote huo harafu umshukuru? Hivi sisi binadamu akili zetu tumeshikiwa na nani? Yani mtu aponywe na madkatari harafu umshukuru mtu ambaye hata hayupo bali ni story tu za kusadikika tuache ujinga sasa

Mie kila day nasema hakuna kitu kinaitwa mungu wala shetani wala yesu sijui bali ni story za kusadikika tu hakuna kitu kama hicho
Watu wa kuwashukuru sana ni wazazi wako basi na siyo sijui kitu kinaitwa mungu ,
Hivi fikiria kwa akili za kawaida huyo mungu angekuwa na huruma angekuacha upate msoto, angekuacha ufe, angekuacha upate ajari , upate njaa, angekubali majanga ya dunia hii bali vyote hivyo anayeweza kukusaidia ni wazazi wako , wazazi wako hawako tayari kuona unapata yotehayo na ndiyo maana unaona wanapambana kwa hali yoyote ili tu usipate shida zozote
Note
Kuamini kuwa kuna kitu kinaitwa mungu ni kutoshughurisha akili yako
We have come to this world to be tested.
 
Back
Top Bottom