Unap ongea na watu wenye akili kuwa makini

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Viongoz wa taasisi za dini sio ofisa ushirika Mtu kama Kadinal Pengo ni Genius sio kilaza sasa kijana unaita mass yote unaongea vitu watu wanabaki na maswali nadhani mwenye nchi kama anawashauri basi wamshauri sidhan kama yupo sawa wala sidhan kama ipo sawa.

By the way who are you ukiacha viongozi wengine na Rais na nani kakutuma. Kama kakutuma hukujiongeza tu?

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mtu mwenye akili akikwambia jambo lake la kijinga na wewe ukalifanya anakudharau.

Ona sasa vyombo vyote vimekaa kimya na kesho head sio hiyo how do ye feel?

Naka wkiweka itakuwa kituko how do ye feel.

Hili kama sio bomu kwa taifa basi ni hatari itakuwaje kweli sasa Rais anawaita akina nani?
Utaratibu kamati za maadili kweli hamshauri haya yanatokea?
well sawa.
Msemaji wa Serikali kazi yake nn au ndio? Haya poa.

Angalieni vichwa vya habari magazeti ya leo tarehe 19.11.2019.... Mtanielewa... Serikali inautaratibu huwez kuamka asubuh nakuita viomgoz wa Din wakitaifa wewe nani? Kwaherini
 
Serikali ilipopiga marufuku Matumizi ya Mihadarati watu hawakuelewa,madhara yake ni haya kwa anayeendelea kutumia kwa kujificha
 
Mwachieni Masoud Kipanya hizi fani za kutumia indirect approach kufikisha meseji, hujasomeka mtoa uzi
 
Back
Top Bottom