Unaongeleaje kuhusu deni la taifa kwa miaka 3 kuongezea kwa zaidi ya Trilioni 20 toka Trilioni 40 mwaka 2015 hadi Trilioni 61 mwaka 2018

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Leo ninesikia naibu waziri wa uchukuzi akiseme serikali iko kwenye mazungumzo na benki ya Dunia kuhusu mkopo wa kujenga barabara ya Nyakanazi hadi Rusomo.

Baada ya kusikia hiyo kauli nikakumbuka kuhusu kauli za viongozi wetu kua hii nchi ina pesa za kutosha za ndani na TRA imeongeza makusanyo kwa wastani wa Trilioni 1.2 hadi 1.3 kwa mwaka toka Bilioni 800 hafi 900 kwa mwaka kabla ya mwaka 2016.

Kwa miaka zaidi ya 50 deni letu la taifa lilikua Trilioni 40 ila kwa miaka 3 tu tumekopa Trilioni 20, maana yake kwa miaka 6 tutakopa Trilioni 40 au zaidi. Kwa mwendo huu kufikia 2025 deni la taifa litakua trilioni 90 au 100. Sijui tutakua bado tunakopesheka au la!

Serikali imekua ikisema mara zote kua pesa zipo, pesa zipo na imeonekana kwenye hadhara ikipinga ukopaji ila kwenye nyaraka deni la serikali linakua kila siku, nashindwa kuelewa kabisa.

Mada inaendelea.
 
Bado deni ni dogo ukilinagnisha na GDP yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kudaiwa ni kawaida na ni kipimo cha maendeleo ndo mana kwenye statement of financila postion SOFP) kuna items zinaitwa Debtors na Creditors ila je uwezo wa kulipa tunao au ndo tunakopa bila malengo?
 
Unaelezeaje kuhusu elimu bure, ndege mpya, reli ya kisasa, vituo vya afya, barabara n.k katika muda wa miaka 3? Huwezi kufanya jambo kubwa la kukuingizia kipato kwa kutumia hela ya mfukoni. Jiongeze.
 
Mikopo mingi ni kwa ajili ya kusaka political millage.
 
Unaelezeaje kuhusu elimu bure, ndege mpya, reli ya kisasa, vituo vya afya, barabara n.k katika muda wa miaka 3? Huwezi kufanya jambo kubwa la kukuingizia kipato kwa kutumia hela ya mfukoni. Jiongeze.
Unataka kusema kajenga barabara zaidi km elfu 8 yaani nusu watangulizi wake ambazo ni km 17000,vituo vya afya? Viko wapi?alichonunua ni ndege mpya tu.vingine ni poropaganda
 
Back
Top Bottom