The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Leo ninesikia naibu waziri wa uchukuzi akiseme serikali iko kwenye mazungumzo na benki ya Dunia kuhusu mkopo wa kujenga barabara ya Nyakanazi hadi Rusomo.
Baada ya kusikia hiyo kauli nikakumbuka kuhusu kauli za viongozi wetu kua hii nchi ina pesa za kutosha za ndani na TRA imeongeza makusanyo kwa wastani wa Trilioni 1.2 hadi 1.3 kwa mwaka toka Bilioni 800 hafi 900 kwa mwaka kabla ya mwaka 2016.
Kwa miaka zaidi ya 50 deni letu la taifa lilikua Trilioni 40 ila kwa miaka 3 tu tumekopa Trilioni 20, maana yake kwa miaka 6 tutakopa Trilioni 40 au zaidi. Kwa mwendo huu kufikia 2025 deni la taifa litakua trilioni 90 au 100. Sijui tutakua bado tunakopesheka au la!
Serikali imekua ikisema mara zote kua pesa zipo, pesa zipo na imeonekana kwenye hadhara ikipinga ukopaji ila kwenye nyaraka deni la serikali linakua kila siku, nashindwa kuelewa kabisa.
Mada inaendelea.