Unaomba radhi inakatiliwa unapata msongo wa mawazo Unakufa

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
DqggrPUW4AA-Xu6.jpg

Unajirekodi faragha, unaposti mitandaoni, unaomba radhi
 
Ujinga wa hizi mambo unajirekodi, dhumuni linapita, list ya upuuzi inaongezeka, hakuna anayejali kuhusu wewe sasa unapotaka kufuta post moja kama uliituma, unakuta kuna copy kama milioni mia ktk mtandao cjui utaanza kufuta ipi, zaidi ya kunyonga kitu na kiripua....anayempatia pantera hiyu maza ampunguzie dozi, ipo cku atatembea uchi.
 
Kutaka attention kwa namna hiyo lazima ni dalili ya ugonjwa wa akili, au kutokulelewa na baba au father figure kwa watoto wa akili, kina Shonza wanatkiwa wawapitie watu hawa msaada wa kiafya kuliko vitisho..
 
Back
Top Bottom