Unaomba je mashine!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Hapa ni baadhi ya makabila yaombavyo tendo landoa kwa wenza wao!

  • WAKURYA:Mama Bhoke rara chini ni kurenge!
  • WAMASAI:Mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake!
  • WAHAYA:Mama Koku infact njoo tuperform!
  • WACHAGA:Mama manka nipe ilekitu iliyofanya Mathawe afirisike!
  • WAPEMBA:MA choro panua paja mti waja!
Je wewe unaliombaje kwa mpenzi wako??
 
We Kakakiiza, umenifanya machozi yanimwagike kama mvua kwa kucheka :A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1: :A S crown-1:
 
Hapa ni baadhi ya makabila yaombavyo tendo landoa kwa wenza wao!

  • WAKURYA:Mama Bhoke rara chini ni kurenge!
  • WAMASAI:Mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake!
  • WAHAYA:Mama Koku infact njoo tuperform!
  • WACHAGA:Mama manka nipe ilekitu iliyofanya Mathawe afirisike!
  • WAPEMBA:MA choro panua paja mti waja!
Je wewe unaliombaje kwa mpenzi wako??

Hahahahahaha si mchezo
 
kwi! kwi! kwi! imebidi nikae chini ya meza ili bosi asijue kama niko kwenye JF, duuh, hiyo ya Wapemba imenimaliza kabisa! th! th! th! teh! teh! teh!
 
Duh hii inanikumbusha story ya wanyakyusa wakiwawanatongozana, mwakareli ukiona nipo kimya naona aibu hukunasugua vidole chini ujue nimekubali.
aaaah aah u made my day more brighter
 
Hapa ni baadhi ya makabila yaombavyo tendo landoa kwa wenza wao!

  • WAKURYA:Mama Bhoke rara chini ni kurenge!
  • WAMASAI:Mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake!
  • WAHAYA:Mama Koku infact njoo tuperform!
    [*]WACHAGA:Mama manka nipe ilekitu iliyofanya Mathawe afirisike!
  • WAPEMBA:MA choro panua paja mti waja!
Je wewe unaliombaje kwa mpenzi wako??
wewe mama Haika nitaacha!
halafu hiyo sosej na mayai mawili!!!!!!!
 
mpz leo nimekuandalia kitu kizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,(Tamu yako)naomba usiwe na mawazo,kula vzr,usikasirike maana nataka kukutoa machovu na mawazo tele tafadhali naomba uwahi kurudi baba,nakupenda sana.
 
<br />
<br />

aiseee,walaaaaaaaaiiiiii,
 
mpz leo nimekuandalia kitu kizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,(Tamu yako)naomba usiwe na mawazo,kula vzr,usikasirike maana nataka kukutoa machovu na mawazo tele tafadhali naomba uwahi kurudi baba,nakupenda sana.
Yaani kwa maneno haya..............hata kama nilikuwa na mpango wa kwenda mpango wa kando naghairisha.............
 
tena unamuongezea nimekupikia na kile chakula ukipendacho,ugali kwa mlenda na dagaa pembeni,tena nimekutengenezea na juic ya parachichi,na mjomba livyokuja jana alileta tende hivyo nimekubakishia na kijipande cha chungwa,maana asb leo uliniachia hela nyingi sana,elfu 1500,hivyo imetosha kununua na kamboga ka majani uongeze damu babangu.

Hii ni Shuntama ............a.k.a Limbwata ya matendo.................
 
Aiseee. Hayo maneno matamu ya Pearl ndo yameenda kidato. Kwa maneno hayo hakyanani hata kama nina kazi ya deadline ya mwakani,ntaichapa iyo kazi ili niimalize leo leo kabla sijaenda kutana na babe anaetoa maneno matamu ka ya Pearl.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom