Unaoa ili iweje ? Mimi na-date na KE sita kwa raha zangu.

Wenzio tulikuwa tunadate zaidi ya hao wakat ww bado hata hujabalehe
 
Mpiga punyeto nae atasema aoe ili iweje?

Mkuu, unaamini kwamba kuna hukumu baada ya kifo? Unaamini ipo siku utakufa? Watu watalia kisha watakusahau na kuendelea na maisha yao?
 
Je wajua? Kua kila mmoja Kati ya hao sita ana mabwana sita? Ndo mana wengine hawakusumbui hata nauli.
 
Mpiga punyeto nae atasema aoe ili iweje?

Mkuu, unaamini kwamba kuna hukumu baada ya kifo? Unaamini ipo siku utakufa? Watu watalia kisha watakusahau na kuendelea na maisha yao?
Hiyo kufa na kusahaulika ni kwa kila mtu uwe kwenye ndoa ama nje ya ndoa. Tena aliye kwenye ndoa ndiye mwenye kosa kubwa anapochepuka.

Nyumba ndogo nyingi ni za waume za watu.

Waathirika wengi wa ukimwi ni wanandoa
 
Kwahiyo unadhani hao sita wanakutegemea wewe peke yako?
Na hao wenzako unadhani wanawategemea hao peke yao?
Ukimwi upo,baki njia kuu.
 
Back
Top Bottom