Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Kitu kingine wanasahau, mara nyingi Israel ikishambulisa Syria inatumia anga la Lebanon, ni karibu sana na important areas zote za Syria. Ni risk kubwa sana kupeleka hizi advanced jets kwenye anga kama la Syria, you never know. Kumbuka Nighthawk ilivyopigwa Yugoslavia na SAM ya mwaka 1961. Ukiangusha F35 Syria kwa sababu zozote zile, disaster lake litakuwa sio la dunia hii.
Zimekwisha anguka F-35 mbili kwa mfururizo kwenye mazingira ya kutatanisha - tukio hilo lilikumba airbase iliyopo East Coast ya USA, baada investigation kufanyika kuhusu ni kwa nini ndege mbili aina za F-35s zianguke ghafla within one week time frame.
Ma fighter Pilots walipo hojiwa walisema kwamba electronic instrumentation and control systems za F-35 zilikuwa zina paraganyika ghafla na kuifanya ndege to loose power na mwelekeo!!
Baadae kabisa ndio wachunguzi wa masuala ya ajali za ndege wakaja baini kwamba kumbe culprit ni kituo cha Electronic Warfare System kilicho funguliwa na Warusi nchini Cuba hivi karibuni, tangu wagunduwe ukweli huo ndipo USAF walilazimika kuhamisha F-35s zilizo baki kwenda kwenye airbases zilizopo katikati ya nchi na West Coast.