Unanishauri vipi kuhusu kitabu cha Ngaiza?

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
Habari za siku !

Naomba kwa wale mliotumia kitabu cha physical chemistry kilichoandikwa na ngaiza mnijuze yafuatayo:-

1.Kimeandikwa vizuri yani rahisi kusoma na kuelewa?

2.Kina maswali ya kutosha pia na mifano ya maswali?

Pia naweza pata bookshops Njombe zinazo uza kitabu cha physical chemistry cha mzumbe kilichoandikwa na Delungu(1998)?

Pia kitabu cha Delungu na cha Ngaiza upande wa physical chemistry kipi kizuri? Au havina tofauti sana?
 
Physical chemistry ya Ngaiza ni nzuri sana kuzidi physical ya Mzumbe. Vyote nimetumia, ila physical ya Ngaiza acha kabisa, ni level nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom