Unamwita mchumba wako mama yako mzazi amekuzalia kaka zako?

Duh! Sipati picha bi mdogo atakapopigiwa simu nikiwanae akasema nipo na babu kantaiti! Sio tu patachimbika, ila patatokea kisima kabisa!

heee kweli hii imemkuta mdogo wako, maana umeongea bila vituo wakati nakujua wewe ni mtu wa vituo, pole sana pdidy

shantel mwaya hata sina hamu alafu ndio tulijua huyu anaenda nae pale kwenye kilims cha ndoa mwaya mmh

mmh nimeshindwa hata kutoa msaada bado serveryanguaitaki kukamata matatizo yao sijui kwa nini

kwa imani ya ki islamu ni HARAMU kumuita mchumba,mke mama kwani mama huwezi kula uroda

nimesoma hata sijaelewa kitu labda kichwa kimechemsha kwa kukesha na mavitabu.

Mh kweli uhandishi ni kipaji, sijaambulia chochote

nilijua peke yangu,nimerudia mara ya pili wapi bado kushnei,ndo matatizo ya kutoroka mashuleni haya.Hana budi kurudi elimu ya msingi na kusoma tena kwa bidii somo la mwandiko

nilijua peke yangu,nimerudia mara ya pili wapi bado kushnei,ndo matatizo ya kutoroka mashuleni haya.hana budi kurudi elimu ya msingi na kusoma tena kwa bidii somo la mwandiko

unajua kudes shulen kuna garamayake sana hata vitu vidogo unaitaji kudesa utakikuumiza akili uelewe..nikurudishe darasan kidogo hii uitaj kudedsa nakumezesha kiaina

unamwita mchumba wako mama yako mzazi
means kuna mtu kamwita mchumba wake mama mzazi badala ya kumtambulisha kama kipenzi chake umeleewa hiili

amekuzalia kaka zako??
Hi wala aiitaji shule ya msingi yaani wewe unaemwita mchumba wako mamako mzazi amekuzalia kaka zako??
Nahisi kama na hapa ujaelewa naomba uwepo wa mungu ukufunike maana ni ngumu kukuelekeza

Uandishi ni kazi kweli. Hapa nimetoka empty. Ngoja nipitie comment japo nitapata summary.

unajua kudes shulen kuna garamayake sana hata vitu vidogo unaitaji kudesa utakikuumiza akili uelewe..nikurudishe darasan kidogo hii uitaj kudedsa nakumezesha kiaina

unamwita mchumba wako mama yako mzazi

means kuna mtu kamwita mchumba wake mama mzazi badala ya kumtambulisha kama kipenzi chake umeleewa hiili

amekuzalia kaka zako??

Hi wala aiitaji shule ya msingi yaani wewe unaemwita mchumba wako mamako mzazi amekuzalia kaka zako??

Nahisi kama na hapa ujaelewa naomba uwepo wa mungu ukufunike maana ni ngumu kukuelekeza
Naomba uwepo w mungu unifikie.

usikazimishe mambo, lazima hukubali kwamba habari imeandikwa hovyo hovyo
Hi wala aiitaji shule ya msingi yaani wewe unaemwita mchumba wako mamako mzazi amekuzalia kaka zako??

Nahisi kama na hapa ujaelewa naomba uwepo wa mungu ukufunike maana ni ngumu kukuelekeza

hii imenipa headache kabisa!!flow haipo,wahusika wame changanywa changanywa, na nnavozidi kuisoma ndo inantia kicheefu chefu kabisa..hata mtoto wa darasa la sita anaweza kujieleza vizuri zaidi!kha!!
May God help us all!

nilijua peke yangu,nimerudia mara ya pili wapi bado kushnei,ndo matatizo ya kutoroka mashuleni haya.Hana budi kurudi elimu ya msingi na kusoma tena kwa bidii somo la mwandiko

Nimerudia kama mara tatu hivi na nikwamwita mtu mwingine anisaidie kusoma ndio nikaelewa.

sasa kwako , pdidy, nafikiri huyo shem huyo hamna kitu hapo leo kamwita mama kesho atamwita kimeo keshokutwa utasikia wameachana.
kama mlikula mahari anzeni utaratibu wa kuzichanga incase akizidai.

mkuu..hapa sijaambulia kitu kabisa...umeongea kuhusu kabila mara mama mzazi..mara kaka....uandishi pia kumbe ni fani ambayo inahitaji darasa kumbe!...

hivi neno mamaa na mama lina maana sawa? ....labda ndilo linalogonganisha maana hapa...

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom