Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Ukiwa hivyo ni vizuri ila pia hutajua raha na Mawadah ya kupenda

Ni sawa na Mpira, Kadri unavyoumia timu yako ikifungwa basi ikishinda unakuwa na furaha Mara dufu lakin ukiwa unaona kawaida hata ikifungwa basi hata ikishinda kiwango cha furaha huwa pia cha chini
mbona mawadah :) umenikumbusha mbali na hili neno asante.
 
Naona tunajitahidi kubishana naukweli pamoja na uhalisia wa haya mambo..

Nikama stage zaukuaji wa mtoto,kulala,kukaa,kutambaa,kusimama,kupiga hatua na kukimbia..sasa huwa kunastage mtoto anapitia maumivu na majelaha sana mpka atakapozoea pulukushani..chamuhimu kwasasa nikujua unawezaje kuwa participant mzuri na una enjoy haya mambo..
Well said hakuna kisicho zoeleka
 
Wakati mwingine kulazimisha mawasiliano na mtu ndiyo kunakupa amani ya moyo zaidi kuliko kujifanya mbabe kutunisha misuli eti na wewe unamkalia kimya wakati moyo wako unatamani uwasiliane naye

Fanya kile moyo wako unapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natamani kuwasilisha nawe ila nafasi hii sijaipata kwakweli..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom