unamtisha mwanao ntakuchoma sindano? Sindano zisizo na maumivu zinakuja

walete kabisa ya BLUETOOTH au WIRELESS. mana hata hiyo naona kama ina ncha.
 
Nilishawahi kuona ktk jarida, miaka kadhaa iliyopita, sindano isiyo na ncha (sijui km ni sahihi kuiita sindano) ikiwa inatumiwa na watoto wenye ugonjwa wa kisukari kuingiza dawa mwilini kwa kuikandamiza sindano ktk paja -- sijajua zina tofauti gani na hizi za mit alizozitaja chief-mkwawa.

Nadhani watoto wataendelewa kutishiwa sindano zile za kutolea dawa -- sijui km hizi za laser zinatumika kwa kazi hii.
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom