unamtisha mwanao ntakuchoma sindano? Sindano zisizo na maumivu zinakuja

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,606
39,566
wengi wetu tumepitia udogoni stage hii ukiambiwa kitu unakataa basi mzazi anakwambia ''ntakupeleka kwa dokta ukachomwe sindano''.
2756332192_2ceb2a2791_z-1_large_extra_large.jpeg

Wanasayansi wa korea wamegundua sindano ambazo zitatumia laser na kusababisha kutopata maumivu ukitibiwa. Sindano hizo zitapitisha dawa kwenye upenyo wa ngozi wa vinyweleo na kusababisha dawa kuingia bila kuumiza tisue za ngozi

Njia hii ni mwendelezo kwan mit walishagundua kua wanaweza kutumia mabomba yenye presure kupitisha dawa bila sindano.

Je tutawatishia nini tena watoto?
 
Aisee mara ya mwisho kuchomwa sindano ilikua 2003 tena ilikua shuleni sindano za chanjo,
bora ninywe doz ya vidonge 100 kuliko sindano 1, wacha zije bongo zitusaidie na sisi
 
o_O aisee siwange zilete enzi zile mimi simalizi mwezi bila kuchomwa sindano za masaa ...watoto wa miaka hii watakula raha
 
Aisee mara ya mwisho kuchomwa sindano ilikua 2003 tena ilikua shuleni sindano za chanjo,
bora ninywe doz ya vidonge 100 kuliko sindano 1, wacha zije bongo zitusaidie na sisi

2003 ulikuwa unasoma darasa la ngapi? Mkuu??
 
ujue nkiangaliaga movie naona watu wanaokua na role za kutumia computer mara nyingi wanamsaidia star wa movie kukamilisha mission wanakua waoga sana. Same hapa jf mbona kila mtu aogopa sindano?
 
wengi wetu tumepitia udogoni stage hii ukiambiwa kitu unakataa basi mzazi anakwambia ''ntakupeleka kwa dokta ukachomwe sindano''.
2756332192_2ceb2a2791_z-1_large_extra_large.jpeg

Wanasayansi wa korea wamegundua sindano ambazo zitatumia laser na kusababisha kutopata maumivu ukitibiwa. Sindano hizo zitapitisha dawa kwenye upenyo wa ngozi wa vinyweleo na kusababisha dawa kuingia bila kuumiza tisue za ngozi

Njia hii ni mwendelezo kwan mit walishagundua kua wanaweza kutumia mabomba yenye presure kupitisha dawa bila sindano.

Je tutawatishia nini tena watoto?

Tunawatishia na ile ya zamani. Utalaam huo hawana wa kugundua ujio wa mpya.
 
ila hizi sindano zina madhara yake
mm mwisho mwezi july mwaka huu
 
Matibabu ya sindano yanapigwa vita. Tiba kwa kutumia tabs nk ndo iko kwenye chati kwa sasa.
 
Na kuna vidonge pia vina madhara vinasababisha hadi vidonda vya tumbo vidonge vigumu haviyeyuki, sindano nzuri kwa matibabu ya fasta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom