Unamshauri nini rais Jakaya Kikwete kuhusu mihadarati

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,709
kikwete_2.png
Vyombo vya habari viliripoti jana kuwa rais Jakaya Kikwete alimuokoa teja mmoja maarufu Ray C. Hili limeishajadiliwa sana. Baada ya kufichuka kwa habari hizi ambazo wengi wameona kama ni "roho" nzuri ya mheshimiwa rais, nimeonelea nirejeshe kadhia nyingine itokanayo na mihadarati ambayo ni kifo cha kutatanisha cha mbunge wa CCM Amina Chifupa baada ya kushupalia biashara hii. Je kwanini rais hakuingilia kati kumuokoa? Wengi watashangaa rais angemwokoaje wakati hakuwa teja. Nimaanishacho ni kwamba je rais anahitaji kuokoa mateja mmoja mmoja tena maarufu au wote kwa kuwakamata wauza mihadarati ambao alitwambia mwaka 2006 kuwa ana orodha yao? Je Kikwete anatumia kadhia ya Ray C kujitafutia umaarufu wa bei nafuu au ameshauriwa vibaya? Je Kikwete yuko serious kupambana na mihadarati au ni usanii wa kawaida? Je mbinu anayotumia Kikwete inaweza kuleta suluhu kwa tatizo au kuwa sehemu ya tatizo? Je wasio "masupastaa" wataokolewa na nani? Je Kikwete alidhamiria kumsaidia Ray C au kutumia umaarufu wake kujionyesha kama mtu anayejali? Je wewe mwana JF unampa ushauri gani ili apambane na tatizo lenyewe badala ya mashina kama ilivyotokea kwa Ray C?
 
Mwanangu ushauri wako mzuri. Nadhani wapambe wa bwana mkubwa watamfikishia. Niongezee kuwa kama ufisadi umehalalishwa kwanini mibangi na mibwibwi isiruhusiwe ili ishuke bei?
Father of All;

Mihadarati inatakiwa iruhusiwe kutumika kisheria na hakuna dhambi zozote. Kama watu tunaruhusiwa kufanya zinaa ambayo ina madhara makubwa kwanini tusiruhusiwe kutumia madawa?
 
Mimi namshauri aache kuwauzia vijana wetu mihadarati na hatimaye kujifanya anawaokoa maana kuna mwana JF mmoja hapa anausemi wake 'If your silent in situation of oppression you have chosen the side of the oppressor' kwa hiyo Jk amechagua upande wa oppressors ambao anawajua kama sio kushirikiana nao waendelee kuua vijana wetu kwa mihadarati na mizengwe.Pia inawezekana ana*****a Rc sio bure...JK hakusaidii kama hana sababu au chakuchukua kutoka kwako..shame on you ****** dhaifu
 
View attachment 74662
vyombo vya habari viliripoti jana kuwa rais jakaya kikwete alimuokoa teja mmoja maarufu ray c. Hili limeishajadiliwa sana. Baada ya kufichuka kwa habari hizi ambazo wengi wameona kama ni "roho" nzuri ya mheshimiwa rais, nimeonelea nirejeshe kadhia nyingine itokanayo na mihadarati ambayo ni kifo cha kutatanisha cha mbunge wa ccm amina chifupa baada ya kushupalia biashara hii. Je kwanini rais hakuingilia kati kumuokoa? Wengi watashangaa rais angemwokoaje wakati hakuwa teja. Nimaanishacho ni kwamba je rais anahitaji kuokoa mateja mmoja mmoja tena maarufu au wote kwa kuwakamata wauza mihadarati ambao alitwambia mwaka 2006 kuwa ana orodha yao? Je kikwete anatumia kadhia ya ray c kujitafutia umaarufu wa bei nafuu au ameshauriwa vibaya? Je kikwete yuko serious kupambana na mihadarati au ni usanii wa kawaida? Je mbinu anayotumia kikwete inaweza kuleta suluhu kwa tatizo au kuwa sehemu ya tatizo? Je wasio "masupastaa" wataokolewa na nani? Je kikwete alidhamiria kumsaidia ray c au kutumia umaarufu wake kujionyesha kama mtu anayejali? Je wewe mwana jf unampa ushauri gani ili apambane na tatizo lenyewe badala ya mashina kama ilivyotokea kwa ray c?
kwanza unatakiwa ufahamu kuwa inapotokea mtu akasaidia mtu mmoja au akasaidia jambo moja,na wewe unatakiwa usaidie jengine.sio mtu anamkirimu mtu "a"wewe unalaumu kwanini hakumkirimu na mtu "b".unachotakiwa ni kumuunga mkono.kuhusu kupambana na madawa ya kulevya kwa ujumla;mara kadhaa kikwete anakemea kweli kweli kwenye hutuba zake.labda kama huwa humsikilizi maana kuna watu hawasikilizi halafu baadae wanaanza kulalamika.utasikia 'hamna cha maana alichoongea" ukimuuliza ulimsikiliza? Anakuambia "hapana ila namjua".kuhusu kukamata;kuna kutengo maalum cha kupambana na madawa ya kulevya na kinafanya kazi.kama kuna uzembe,ni kwa watumishi hao ambao kimsingi ni wasomi na si wanasiasa.si sahihi kudhani kama rais atakuwa anakamata mwenyewe mannualy.
 
mimi namshauri aache kuwauzia vijana wetu mihadarati na hatimaye kujifanya anawaokoa maana kuna mwana jf mmoja hapa anausemi wake 'if your silent in situation of oppression you have chosen the side of the oppressor' kwa hiyo jk amechagua upande wa oppressors ambao anawajua kama sio kushirikiana nao waendelee kuua vijana wetu kwa mihadarati na mizengwe.pia inawezekana ana*****a rc sio bure...jk hakusaidii kama hana sababu au chakuchukua kutoka kwako..shame on you ****** dhaifu
japo hutumii jina lako ila jaribu kuongea vitu ambavyo ni objective na ukiambiwa uthibitishe unaweza.
 
Amkanye mwanae ritz1 aache kufanya biashara ya mihadarati kwani anaharibu afya za vijana wengi waso na hatia!
Mimi namshauri aache kuwauzia vijana wetu mihadarati na hatimaye kujifanya anawaokoa maana kuna mwana JF mmoja hapa anausemi wake 'If your silent in situation of oppression you have chosen the side of the oppressor' kwa hiyo Jk amechagua upande wa oppressors ambao anawajua kama sio kushirikiana nao waendelee kuua vijana wetu kwa mihadarati na mizengwe.Pia inawezekana ana*****a Rc sio bure...JK hakusaidii kama hana sababu au chakuchukua kutoka kwako..shame on you ****** dhaifu
 
View attachment 74662 Vyombo vya habari viliripoti jana kuwa rais Jakaya Kikwete alimuokoa teja mmoja maarufu Ray C. Hili limeishajadiliwa sana. Baada ya kufichuka kwa habari hizi ambazo wengi wameona kama ni "roho" nzuri ya mheshimiwa rais, nimeonelea nirejeshe kadhia nyingine itokanayo na mihadarati ambayo ni kifo cha kutatanisha cha mbunge wa CCM Amina Chifupa baada ya kushupalia biashara hii. Je kwanini rais hakuingilia kati kumuokoa? Wengi watashangaa rais angemwokoaje wakati hakuwa teja. Nimaanishacho ni kwamba je rais anahitaji kuokoa mateja mmoja mmoja tena maarufu au wote kwa kuwakamata wauza mihadarati ambao alitwambia mwaka 2006 kuwa ana orodha yao? Je Kikwete anatumia kadhia ya Ray C kujitafutia umaarufu wa bei nafuu au ameshauriwa vibaya? Je Kikwete yuko serious kupambana na mihadarati au ni usanii wa kawaida? Je mbinu anayotumia Kikwete inaweza kuleta suluhu kwa tatizo au kuwa sehemu ya tatizo? Je wasio "masupastaa" wataokolewa na nani? Je Kikwete alidhamiria kumsaidia Ray C au kutumia umaarufu wake kujionyesha kama mtu anayejali? Je wewe mwana JF unampa ushauri gani ili apambane na tatizo lenyewe badala ya mashina kama ilivyotokea kwa Ray C?
Kuna methali ya kiswahili isemayo "Zimwi likujualo halikuli likakwisha"
 
Huyu jahkaya ndie dila mkuu wa hayo madawa.alisema anawajua ma dila na dila mkuu ni mwanae hapo tutegemee haya madawa kudhibitiwa ni ndoto.
Kwahiyo reisii ndio ndio muathirika mkuu sio,...hao wengine vipi?
 
Kwa sababu alishasema anawafahamu na hajawachukulia hatua yoyote,tunamuona ni
mnafiki kujifanya kumsaida Ray c peke yake wakati watanzania wengi wanazidi kuwa
machizi kwa madawa ya kulevya.Anapaswa kutoa msaada kwa watanzania wote kwa
kuwashughulikia drug dealers bila kuangalia uso wa mtu
.Otherwise tunamuona ni msanii tu
 
kwanza unatakiwa ufahamu kuwa inapotokea mtu akasaidia mtu mmoja au akasaidia jambo moja,na wewe unatakiwa usaidie jengine.sio mtu anamkirimu mtu "a"wewe unalaumu kwanini hakumkirimu na mtu "b".unachotakiwa ni kumuunga mkono.kuhusu kupambana na madawa ya kulevya kwa ujumla;mara kadhaa kikwete anakemea kweli kweli kwenye hutuba zake.labda kama huwa humsikilizi maana kuna watu hawasikilizi halafu baadae wanaanza kulalamika.utasikia 'hamna cha maana alichoongea" ukimuuliza ulimsikiliza? Anakuambia "hapana ila namjua".kuhusu kukamata;kuna kutengo maalum cha kupambana na madawa ya kulevya na kinafanya kazi.kama kuna uzembe,ni kwa watumishi hao ambao kimsingi ni wasomi na si wanasiasa.si sahihi kudhani kama rais atakuwa anakamata mwenyewe mannualy.

Umeandika vizuri sana na nakubaliana na wewe , kama hawezi kuwakamata wauza unga ambao alikiri kwamba anawafahamu , unadhani kulikuwa na haja gani kuropoka ? Rais ana uwezo mkubwa sana wa kuwamaliza wauza unga badala ya kuhangaika na mateja .
 
umeandika vizuri sana na nakubaliana na wewe , kama hawezi kuwakamata wauza unga ambao alikiri kwamba anawafahamu , unadhani kulikuwa na haja gani kuropoka ? Rais ana uwezo mkubwa sana wa kuwamaliza wauza unga badala ya kuhangaika na mateja .
jmani mkamata wauza unga sio raisi jamani.hivi mnafahamu dhana ya utawala bora! Utawala bora ni pamoja na mgawanyo wa madaraka na majukumu.
 
Hahhaa akuna kitu niliwaza halafu nikacheka tu, ila alichofanya Mheshimiwa Rais ni sahihi kabisa......alipewa list ya wauza unga, hakufanya chochote basi pengine anasubiri wadhurike ili awasaidie.......what else do you want me to say?? Subiri wauze wapate faida halafu ile faida waigawanye watupatie matibabu ili tupone tuendelee kuwa wateja wao
 
kwanza unatakiwa ufahamu kuwa inapotokea mtu akasaidia mtu mmoja au akasaidia jambo moja,na wewe unatakiwa usaidie jengine.sio mtu anamkirimu mtu "a"wewe unalaumu kwanini hakumkirimu na mtu "b".unachotakiwa ni kumuunga mkono.kuhusu kupambana na madawa ya kulevya kwa ujumla;mara kadhaa kikwete anakemea kweli kweli kwenye hutuba zake.labda kama huwa humsikilizi maana kuna watu hawasikilizi halafu baadae wanaanza kulalamika.utasikia 'hamna cha maana alichoongea" ukimuuliza ulimsikiliza? Anakuambia "hapana ila namjua".kuhusu kukamata;kuna kutengo maalum cha kupambana na madawa ya kulevya na kinafanya kazi.kama kuna uzembe,ni kwa watumishi hao ambao kimsingi ni wasomi na si wanasiasa.si sahihi kudhani kama rais atakuwa anakamata mwenyewe mannualy.

We nawe mkuu unatetea tu sema, madawa ya kulevya yanazuiwa kwa kukemewa? Hatakiwi kukemea, anatakiwa kuchukua hatua!!!! Yeye ndio mwenye vyombo vyote vya usalama, amiri jeshi mkuu, na kila kitu, sasa akikemea alafu mapadri na masheikh wafanye nini?
 
kwanza afuatilie kwa karibu, wale aliowapa dhamana ya kupambana na biashara hiyo, je? ni wakweli wanampa taarifa za ukweli kuwawezesha wao kuendelea kuongoza hayo mapambano au wanampa taarifa za uongo zenye mlengo wa kuwawezesha kuaminiwa kwa faida ya matumbo yao, viongozi hao wanajua tatizo liko wap? airpot dar. kia, bandarini, kwenye fukwe , mipakani au tunazalisha wenyewe. kama ni kwenye airpot zetu , kumewekwa mkakati wa uhakika wa kudhibiti hali hiyo, kwa kutumia rasilimal zetu na kuna ushirikiano wa wazi wa idara zote za umma na binafsi ktk maeneo hayo, mzee wangu fuatilia,kama ni bandarini je wanazo hata ofisi na wanajua hata bandari ilipo, wanao mbwa wa kunusa madawa wale competent, kama ni kwenye fukwe kwa rasilimali zetu , tunafanya doria kweli , kwenye fukwe zetu,TPDF wanahusishwa walau kwenye patrol zao ndani ya bahari, hayo lazima yafanyike. je hatuoni kama tunakamata madaw a haya airport yakiwa yanaondoka hatuoni kuwa mlango wetu wa kuingia uko wazi au tuna kiwanda hapa nchini, maana rekodi zinnaonyesha kiwanda kimewahi kukamatwa na mitambo pia imewahi kukamatwa ,
 
Back
Top Bottom