HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Ukweli usemwe na kila mtu upenzi wake katika suala la watoto japo mungu anakupa mtoto anaemtaka yeye na ni majaliwa pia. Wewe unampenda mtoto wa jinsia gani na kwanini ??
Kwanini wakiume ?Wa kiume asee
EeeeeeeehYeyote tu kwa sababu bao ni langu mwnyw haijalishi
Naenjoy kuona watoto wa kiumeKwanini wakiume ?
Ukisikia swali utumbo hili ni utumbo wa nguruwe.Ukweli usemwe na kila mtu upenzi wake katika suala la watoto japo mungu anakupa mtoto anaemtaka yeye na ni majaliwa pia. Wewe unampenda mtoto wa jinsia gani na kwanini ??
Ndio mana nikasema ni majaliwa toka kwa mungu lakin kuna kitu kinaitwa upenz toka moyonWe unachagua wa kiume.umeshafikiria kukosa kabisa? Labda kama umeshapata. Kama bado usinyanyue ki ywa maana unaweza uspate hata kwenye jinsi zote
Nice kma mmNaenjoy kuona watoto wa kiume
Utakuwa wa mambaUkisikia swali utumbo hili ni utumbo wa nguruwe.
CowNilikua napenda sana nipate cow girl nashukuru Mola nikampata.
Sasa nafind cow boi.
Kwani ngombe was kike pia ni " cowgirl"?Nilikua napenda sana nipate cow girl nashukuru Mola nikampata.
Sasa nafind cow boi.
ahsante mnoBora kumwachia Mungu aamue mwenyewe tu,wawezà'kuchagua ukajikuta hutii hata mimba ya kusingizia kama sio mtoto kufa kabla hajazaliwa.mtoto ni mtoto alimradi amekuwa na maumbile ya kibinaadam.