Unamkumbuka??

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,273
2,647
Namkumbuka mwalim wangu wa darasa la kwanza Mwl. Deodatus Mganga, dah alikuwa mlevi yule!!, alikuwa anatupiga yule!!, alikuwa akija asubuh darasan amelewa (gongo) anatuuliza "Vijana mmekojaoa" akiuliza hvyo ujue hiyo cku ni shughuli. Ukishndwa kusoma/kuandika au ukikosa hesabu zile za kujumlisha anapiga na bonge la fimbo (bingobingo) mgongoni, kujikojolea lilikuwa jambo la kawaida sana kwa kipigo hicho. Finally gongo ilimuondoa dunian enzi hzo mi nikiwa form6. RIP mwl Mganga. Je, wewe unamkumbuka mwalim wako wa drs la 1?
 
Kuna mwalimu anaitwa mlay yuko pale naura primary school-arusha,alikuaga ana2lamba stick hzo!cha kushangaza hajastaafu hadi leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom