Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,477
20,383
Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile.

Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha watu weusi Marekani.
Wakinamama hao wamedai vijana weusi wa kimerakani ni watoto zao,ni kaka zao walioibiwa miaka mingi na hivyo jukumu la kuwalinda ni jukumu lao msingi kabisa.

Wakinamama hao wameamua kuchukua mambo mikononi mwao na kuanza kuwashughulikia askari wote wabaguzi.

Kwa kuanza waliita mizimu ya Kibembe mbele ya picha ya huyo askari huku wakilitaja jina lake mara kadhaa, wakimuombea mabalaa ya kila aina.

Baada tu ya maombi hayo jamaa alifukuzwa kazi ikfuatiwa na kufunguliwa mashtaka ya mauaji. Wakuu mpeni wiki tu huyu jamaa. Machozi ya hawa wakinamama hayaendi bure.

Finally watu wamejitolea kuwasaidia hawa vijana weusi wa Marekani.

IMG_20200529_094910_158.JPG
 
View attachment 1463407
Kwani wamerekani weusi ni wafrika au wamerekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani ameupatia visa ya USA huo uchawi?sidhani kama unaweza kwenda us sababu upatikanaji wa visa ni ngumu huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom