Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,322
Gunter Benko-Mech kali ya kombe la ulaya kati ya ufaransa ya kina zizzou na ureno ya kina figo ananyoosha mkono ktk dakika za majeruhi kuashiria penalti dhidi ya ureno baada ya mlinz wa ureno abel xavier kupoteza balansi na kuonekana 'kuunawa' mpira.
Horacio Elizondo-huyu alimtandika red kadi zizzou wa ufaransa baada ya nguli huyo kumtandika kichwa cha kifuani mlinz wa kati wa italia materazzi.
Pieluigi Kollina-Kuna mech huko italia aliamuru timu zisibadilishane magoli baada ya mapumziko ili kuepuka fujo za mashabiki wanaokaa nyuma ya magoli. Pia alimtandika redi kadi beckham wa england baada ya kuonekana kumchezea faulo ya kizembe nahodha wa ajentina diego simeoni.
Ongezea kumbukumbu zako...