Unamkumbuka Marlaw?

"Mbona umenuna nuna
na hucheki tenaa
Najuta naogopa,
Roho inaniumaaa
Haikuwa langu kusudiooo
Wee uumieee
Vile umenuna unaniweka
Roho juu beibe!"

Hii ngoma ilitoka nikiwa ktk mkwamo wa ajabu sana, kushoto mpenzi anazingua, kulia kuna sup 3 na zote zimekaa vibaya! Na uchumi nao ulishayumba vibaya!

Daaah! Marlaw alikuwa noma sana!
 
Mmmmmh.....si kweli alimaliza form six 2007 ndo akaenda kutoa albam,wimbo uliomyoa wa mbembeleza alioyoa akiwa six iringa kwa term G chini ya tuddy tom na pia akufaulu vizuri six alipata four div ingawa alikua na uwezo wa kupata vema zaidi ya hapo
Jamaa anakipaji cha kuzaliwa,alitoa album akiwa form six,na umaarufu haukumfanya apoteze malengo yake,aliendelea na chuo,akaoa na kushika uelekeo anaoutaka.Kuwa mwanamziki hayakuwa malengo ya Lawrence Malima,ila tunammiss sana.
 
Haloo baby, natamani niwe nyumbani nimekwama hapa njiani kuna jam baby.....

I love you mamaa, I love you mamaa my baby my baby...

Haloo haloo haloo. .......

Unanikatia simu unanionea, wee ungekuwepo ungejionea...... unanionea mamaa.....

Marlaww...... nilikuwa napenda anavyocheza.


Ahaa, hey hey
Ahaa, hey hey
Ninataka niwahi kufika,
Njia ina jam sasa wapi ntapita,
Nimekaa karibia saa sita,
Sasa kukaa nimechoka, oh baby,
Sijamuona long time na,
Ndo narudi toka mwezi jana
Nimeshamwambia mama
Nimefika tangu mchana
Anajua nmeshafika, ameshapika, amekasirika
Alipika tangu mchana,
Ila sasa lunch imegeuka dinner,
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (hatuelewani)
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
Ahaa, kuna jam baby
Ahaa, hallo
Ahaa, hallo
Ahaa, hallo
Unanikatia simu unanionea,
We ungekuwepo ungejionea,
Unafanya hivo, unakosea mama.
Unanikatia simu unanionea,
We ungekuwepo ungejionea,
Unafanya hivo, unakosea mama.
Nakuomba mpenzi ungojee,
Ni njiani, naja, niombee,
Nimechoka na kuja too late,
Huruma nionee.
Nakuomba mpenzi ungojee,
Ni njiani, naja, niombee,
Nimechoka na kuja too late,
Huruma nionee.
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
Nimechoka kupiga honi na; pii pii (eh) (hatuelewani)
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani, (eh, eh)
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
Ahaa, I love you so much,
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
(Hatuelewani)
Nimechoka kungoja highway,
Nitapita kokote mradi we,
Ili kama ni kesi na iwe...
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani
Kuna jam baby.
Pii pii; move out the way,
Nimechoka kupoteza time,
Nina siku nyingi kwenda home,
I am missing ma baby.
Pii pii; hallo baby,
Natamani niwe nyumbani,
Nimekwama hapa njiani,
Kuna jam baby.
I love you so much
I love you mama
I love you mama
I love you mama
I love you so much
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ahaa, I love you so much
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you mama
Ahaa, I love you so much
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
Ma baby
 
"Mbona umenuna nuna
na hucheki tenaa
Najuta naogopa,
Roho inaniumaaa
Haikuwa langu kusudiooo
Wee uumieee
Vile umenuna unaniweka
Roho juu beibe!"

Hii ngoma ilitoka nikiwa ktk mkwamo wa ajabu sana, kushoto mpenzi anazingua, kulia kuna sup 3 na zote zimekaa vibaya! Na uchumi nao ulishayumba vibaya!

Daaah! Marlaw alikuwa noma sana!
Nikikumbuka sup za chuo kikuu huwa nakosa ujasiri wa kurudi chuo. Sikuwahi kupata sup ila wanangu walikuwa wanatia huruma sana. Unakuta vyuma 4 kati ya tisa ni sup alafu lecturer wa masomo hayo mkuda hatariii. Shikamoo economic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom