Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,701
- 45,034
Kwasasa uzee umemkamata sana
Picha chini enzi zake
Unakumbuka nini kuhusu huyu jamaa?
Picha chini enzi zake
Unakumbuka nini kuhusu huyu jamaa?
Siyo uyu aliyekatwa mkonoDu kazeeka kinoma,Nakumbuka Mkono wake ulivyokatika huku ukichalaza njugu za KUSHATO.
Hahahaa niliona zamani sana mwaka 1991,nishakumbuka yeye alifumuliwa ubongo na jini baada ya vitaa vyekundu vya jini kuonekana kwenye kichwa chake.Siyo uyu aliyekatwa mkono
Apo frshHahahaa niliona zamani sana mwaka 1991,nishakumbuka yeye alifumuliwa ubongo na jini baada ya vitaa vyekundu vya jini kuonekana kwenye kichwa chake.
Hahaha hilo jina kipara kwa hisani ya Captain Derick Gasper Mkandala LufufuHuyo anaitwa Billy Duke kipara,namkumbuka sana kwenye movie ya Commando ya Anold Schwaznigger...jamaa ni mweusi kama mjaluo wa Rorya!
Pia aliekti na Arnold kwenye movie ya Commando akiwa kama aduiDu kazeeka kinoma,Nakumbuka Mkono wake ulivyokatika huku ukichalaza njugu za KUSHATO.
Ha ha haMasawee...
Mwanadada Lady Jay Dee aliwahi kutuambia siku hazigandi.Maisha yanaend speed ya upepo