Pimbi kwa kiingereza anaitwa Hyrax au rock burger.
Ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na maana (busy for nothing). Anaweza kutoka mkuku kwenye pori moja kwenda jingine akifika huko analala afu anarudi. Hakuna alichoenda kufanya. Ni kuamua kujichosha tu.
Ukiitwa Pimbi pigana