Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

Vladimir Gusinsky, mmoja wa Russian oligarchs kipindi cha Rais Boris Yeltsin miaka ya 90.

Huyu pamoja na kundi la matajiri wengine sita wakiwemo Mikhail Fridman, Petr Aven na Vladimir Potanin, ndio walikuwa wakiziendesha siasa za Urusi na serikali ya Yeltsin wakati huo.

Asilimia karibu 70 ya fedha zote za Urusi zilikuwa chini yao [watu saba] kabla ya Putin kuingia madarakani na kuanzisha vita ya madaraka na baadhi ya matajiri wakubwa (oligarchs).

Kina Fridman, Petr Aven pamoja na Potanin mpaka sasa bado wana ushawishi mkubwa sana katika utawala wa Putin.
Bila kumsahau aliekuwa bilionea namba moja Urusi kipindi kile Mikhail Khardokorsky, alipata kumiliki kampuni ya mafuta ya Yukos na taasisi za kifedha.
 
Habari za wakati huu jamiiforums.

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

View attachment 1853094

Mnamo mwaka wa 1999, kulikuwa na muungano/umoja wa kisiasa ambao uliwajumuisha Rais wa wakati huo ndugu Borris Yeltsin, jamaa zake na Yeltsin, pamoja na kundi la wafanyabiashara mwenye nguvu, wanaojulikana kama "Family", ambao ndio inasemekana walimleta Vladimir Putin kama mrithi pekee wa Rais Yeltsin.

Wakati huo huo, Vladimir Gusinsky alijiweka nje ya kikundi hicho chenye nguvu cha "Family" na kwa sababu hiyo alituhumiwa kuunga mkono makundi ya upinzani yaliyokuwa yakienenda kinyume na matakwa ya Kremlin (Ikulu ya Russia). Na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mzozo kati ya pedeshee/papaa Gusinsky, kikundi cha watoto wa mjini cha "Family", pamoja na Luteni Kanali Vladmir Putin.

Mnamo mwezi wa Septemba mwaka 1999 kulikuwa na mashambulio kadhaa ya kigaidi huko jijini Moscow na miji mingine nchini Urusi. Majengo kadhaa yalilipuliwa kwa mabomu na watu wengi sana waliuawa. Kremlin/Ikulu ya Urusi ilichukua msimamo wa kuamini kwamba makundi ya magaidi wa Chechen ndio waliokuwa wanahusika na mabomu hayo.

View attachment 1853095

Wakati huo huo, kikundi cha majirani waliokuwa wanaishi katika jengo la ghorofa kumi pale jijini Moscow walikutana na idadi kubwa ya vilipuzi/explosives chini ya jengo lao, na wakaripoti kwa Police/FSB. Wakati huo kundi la wachunguzi wa waandishi wa habari wa kujitegemea walifunua funua ukweli fulani ambao uliunganisha vilipuzi vile na watu walio na uhusiano na Police/FSB.

Television ya NTV ya bwana Gusinsky kwa kupenda sifa ya kufurahisha mabeberu iliamua kuchukua msimamo na kufanya uchunguzi wa kina kama waandishi wa habari - ikichunguza uwezekano wa kwamba Police/FSB ilikuwa ikitengeneza milipuko kwa makusudi katika juhudi za kushawishi uchaguzi ujao na kuhakikisha kundi la "Family linashinda".

Ukweli kwamba kituo cha NTV cha bwana Gusinsky kilianza uchunguzi juu ya milipuko ile kilisababisha hasira kali sana huko Ikulu/Kremlin; kwa kweli, Gusinsky alipewa tamko kali la kuondoa "uchunguzi ule wa huru" kutoka katika kituo chake cha NTV, laa sivyo atakabiliwa na athari ambazo hakuzitarajia.

View attachment 1853104

Gusinsky alikataa katakata kusitisha uchunguzi ule. Kwa kuongezea tu ni kwamba, wadau mbalimbali wa kujitegemea (bila shaka ni vibaraka wa mabeberu) waliishutumu ikulu ya Kremlin na Kanali Putin kwa kuandaa milipuko ile, na kusababisha vita mpya vya Chechen, kwa lengo la kujiongezea umaarufu katika mchakato wa uchaguzi uliokuwa unafuata.

Hii ilikuwa hatua ya mwisho ya kuvunjika kwa uhusiano mwema uliokuwapo mwanzo baina ya Gusinsky na Kremlin, kikundi cha watoto wa mjini cha Family, pamoja na mrithi wa Yeltsin ambaye ni mzee baba Putin. Mnamo tarehe 31 Disemba 1999 Rais Yeltsin alijiuzulu, na Vladimir Putin alikua rais mteule wa Urusi. Putin alikaimu kiti kwa muda kabla ya kula kiapo.

Kujiuzulu kwa Yeltsin kulimleta Putin kuwa Kaimu Urais wa muda wa Russia, na uchaguzi uliofuata mnamo mwezi Mei mwaka 2000 ulimleta Putin mamlakani bila pingamizi.

Moja kati ya matendo ya kwanza kukosolewa hadharani ya rais mpya Putin ilikuwa kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa lengo la kuiweka NTV chini ya udhibiti wa serikali na kuwanyamazisha wapinzani.

View attachment 1853107

Mnamo mwezi wa Juni, ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa serikali ilizindua uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa matumizi mabaya ya pesa (Money Laundering) yakihusiana na kampuni ya utengenezaji ya video ya nchini Urusi iliyokuwa inamilikiwa na ndugu wa bwana Gusinsky. Mnamo mwezi Juni tarehe 13 alikamatwa huko jijini Moscow na kuwekwa lupango/ndani.

Muda mfupi baada ya kukamatwa, wawakilishi wa Gusinsky walipendekeza kwa Ikulu ya Kremlin kuuza "vyombo vile vya habari" kwa kampuni ya serikali ya Gazprom-Media kwa bei ambayo Gazprom-Media inataka, ya Dola za Kimarekani milioni 300, ili pedeshee/papaa Gusinsky aweze kupata uhuru wake.

Baada ya siku tatu za shinikizo kubwa la umma, Gusinsky aliachiliwa kutoka gerezani na kuwekwa kizuizini nyumbani kwake mnamo mwezi wa Juni tarehe 16. Wiki kadhaa baadaye, mnamo mwezi wa Julai, alisaini makubaliano ya kuuza vyombo vyake vyote vya habari kwa Dola za Kimarekani milioni 300.

View attachment 1853109

Mchakato wa mauzo ulisainiwa na naibu Waziri wa wakati huo katika nafasi yake kama mkuu wa Wizara ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ya Shirikisho la Urusi.

Uchunguzi/upelelezi wa makosa ya jinai dhidi yake ulifungwa, na Gusinsky aliondoka Urusi mara moja. Kuanzia wakati huo Gusinsky hakuwahi kurudi teeeeeeeeeenaaa Urusi.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Soviet Union chini ya Ukomunisti ilikuwa watu wote hawapishani sana kwa utajiri. Mali zote zilikuwa ni za serikali.

Ilipovunjika Soviet Union hawa akina Yeltsin ni wezi pamoja na wote wanaoonekana kuwa ni matajiri . Wamesomba mali za nchi na kujimilikisha na sasa wanawasumbua wanyonge kwa tamaa zao za mali na madaraka. Katika vita vyao ni nyasi ndio zinazoumia
 
Thinking aloud,no more bullets to shoot down clear and present dangers to democracy?
 
UK wanaijua historia ya Urusi na utawala toka enzi za vita baridi,yaani wanawajua warusi kuliko mimi na wewe,..Point yangu ni kwamba ukishamjua jirani yako ni mwizi na yeye anaajua kuwa unajua,hiyo ni hatua kubwa sana,unaweza hata ukamwachia nyumba yako na asiibe.So hata Abramovich anajua kuwa UK wanajua yeye ana uhusiano wa karibu na Putin,so hawezi fanya ujinga sababu waingereza hadi wampe team in naama walikuwa washamuweka kwenye darubin yao pia...
Hapo utakuta MI6 wanamfuatilia kila anachofanya!!
 
Habari za wakati huu jamiiforums.

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

View attachment 1853094

Mnamo mwaka wa 1999, kulikuwa na muungano/umoja wa kisiasa ambao uliwajumuisha Rais wa wakati huo ndugu Borris Yeltsin, jamaa zake na Yeltsin, pamoja na kundi la wafanyabiashara mwenye nguvu, wanaojulikana kama "Family", ambao ndio inasemekana walimleta Vladimir Putin kama mrithi pekee wa Rais Yeltsin.

Wakati huo huo, Vladimir Gusinsky alijiweka nje ya kikundi hicho chenye nguvu cha "Family" na kwa sababu hiyo alituhumiwa kuunga mkono makundi ya upinzani yaliyokuwa yakienenda kinyume na matakwa ya Kremlin (Ikulu ya Russia). Na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mzozo kati ya pedeshee/papaa Gusinsky, kikundi cha watoto wa mjini cha "Family", pamoja na Luteni Kanali Vladmir Putin.

Mnamo mwezi wa Septemba mwaka 1999 kulikuwa na mashambulio kadhaa ya kigaidi huko jijini Moscow na miji mingine nchini Urusi. Majengo kadhaa yalilipuliwa kwa mabomu na watu wengi sana waliuawa. Kremlin/Ikulu ya Urusi ilichukua msimamo wa kuamini kwamba makundi ya magaidi wa Chechen ndio waliokuwa wanahusika na mabomu hayo.

View attachment 1853095

Wakati huo huo, kikundi cha majirani waliokuwa wanaishi katika jengo la ghorofa kumi pale jijini Moscow walikutana na idadi kubwa ya vilipuzi/explosives chini ya jengo lao, na wakaripoti kwa Police/FSB. Wakati huo kundi la wachunguzi wa waandishi wa habari wa kujitegemea walifunua funua ukweli fulani ambao uliunganisha vilipuzi vile na watu walio na uhusiano na Police/FSB.

Television ya NTV ya bwana Gusinsky kwa kupenda sifa ya kufurahisha mabeberu iliamua kuchukua msimamo na kufanya uchunguzi wa kina kama waandishi wa habari - ikichunguza uwezekano wa kwamba Police/FSB ilikuwa ikitengeneza milipuko kwa makusudi katika juhudi za kushawishi uchaguzi ujao na kuhakikisha kundi la "Family linashinda".

Ukweli kwamba kituo cha NTV cha bwana Gusinsky kilianza uchunguzi juu ya milipuko ile kilisababisha hasira kali sana huko Ikulu/Kremlin; kwa kweli, Gusinsky alipewa tamko kali la kuondoa "uchunguzi ule wa huru" kutoka katika kituo chake cha NTV, laa sivyo atakabiliwa na athari ambazo hakuzitarajia.

View attachment 1853104

Gusinsky alikataa katakata kusitisha uchunguzi ule. Kwa kuongezea tu ni kwamba, wadau mbalimbali wa kujitegemea (bila shaka ni vibaraka wa mabeberu) waliishutumu ikulu ya Kremlin na Kanali Putin kwa kuandaa milipuko ile, na kusababisha vita mpya vya Chechen, kwa lengo la kujiongezea umaarufu katika mchakato wa uchaguzi uliokuwa unafuata.

Hii ilikuwa hatua ya mwisho ya kuvunjika kwa uhusiano mwema uliokuwapo mwanzo baina ya Gusinsky na Kremlin, kikundi cha watoto wa mjini cha Family, pamoja na mrithi wa Yeltsin ambaye ni mzee baba Putin. Mnamo tarehe 31 Disemba 1999 Rais Yeltsin alijiuzulu, na Vladimir Putin alikua rais mteule wa Urusi. Putin alikaimu kiti kwa muda kabla ya kula kiapo.

Kujiuzulu kwa Yeltsin kulimleta Putin kuwa Kaimu Urais wa muda wa Russia, na uchaguzi uliofuata mnamo mwezi Mei mwaka 2000 ulimleta Putin mamlakani bila pingamizi.

Moja kati ya matendo ya kwanza kukosolewa hadharani ya rais mpya Putin ilikuwa kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa lengo la kuiweka NTV chini ya udhibiti wa serikali na kuwanyamazisha wapinzani.

View attachment 1853107

Mnamo mwezi wa Juni, ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa serikali ilizindua uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa matumizi mabaya ya pesa (Money Laundering) yakihusiana na kampuni ya utengenezaji ya video ya nchini Urusi iliyokuwa inamilikiwa na ndugu wa bwana Gusinsky. Mnamo mwezi Juni tarehe 13 alikamatwa huko jijini Moscow na kuwekwa lupango/ndani.

Muda mfupi baada ya kukamatwa, wawakilishi wa Gusinsky walipendekeza kwa Ikulu ya Kremlin kuuza "vyombo vile vya habari" kwa kampuni ya serikali ya Gazprom-Media kwa bei ambayo Gazprom-Media inataka, ya Dola za Kimarekani milioni 300, ili pedeshee/papaa Gusinsky aweze kupata uhuru wake.

Baada ya siku tatu za shinikizo kubwa la umma, Gusinsky aliachiliwa kutoka gerezani na kuwekwa kizuizini nyumbani kwake mnamo mwezi wa Juni tarehe 16. Wiki kadhaa baadaye, mnamo mwezi wa Julai, alisaini makubaliano ya kuuza vyombo vyake vyote vya habari kwa Dola za Kimarekani milioni 300.

View attachment 1853109

Mchakato wa mauzo ulisainiwa na naibu Waziri wa wakati huo katika nafasi yake kama mkuu wa Wizara ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ya Shirikisho la Urusi.

Uchunguzi/upelelezi wa makosa ya jinai dhidi yake ulifungwa, na Gusinsky aliondoka Urusi mara moja. Kuanzia wakati huo Gusinsky hakuwahi kurudi teeeeeeeeeenaaa Urusi.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
🚮🚮 unamtisha nani?
Hizi ni akili zilizochanyika na kinyesi cha mzee
 
JF imejaa watu intelligent sana na wanaoijua vema dunia hii
Ni kweli lkn jamaa alinikaribisha chakula cha jioni! palee ''Kremlin'' wkt tunakula sasa nikamwawambia Tizama bwana Rais nchi yako hii ina maguvu, ya kila aina na ni kubwa mno! haipangiwi cha kufanya km zilivo nchi zetu, kwa nini usiamue kukaa wewe km wewe.

Haina maana kufuata taratibu za kimagahribi saaana! sasa angalia kila mara Mnachagua mkuu wa chi hii haina maana kwenu hata kidogo amueni nani ana faa awe Rais wa maisha au vepe................kuumbe yale mawazo yangu aliyafanyia kazi sana ndivo urusi inaendeshwa hivo!1 mpaka kesho!

umafia ueanzia sec. huko
 
Habari za wakati huu jamiiforums.

Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"

View attachment 1853094

Mnamo mwaka wa 1999, kulikuwa na muungano/umoja wa kisiasa ambao uliwajumuisha Rais wa wakati huo ndugu Borris Yeltsin, jamaa zake na Yeltsin, pamoja na kundi la wafanyabiashara mwenye nguvu, wanaojulikana kama "Family", ambao ndio inasemekana walimleta Vladimir Putin kama mrithi pekee wa Rais Yeltsin.

Wakati huo huo, Vladimir Gusinsky alijiweka nje ya kikundi hicho chenye nguvu cha "Family" na kwa sababu hiyo alituhumiwa kuunga mkono makundi ya upinzani yaliyokuwa yakienenda kinyume na matakwa ya Kremlin (Ikulu ya Russia). Na huu ndio ulikuwa mwanzo wa mzozo kati ya pedeshee/papaa Gusinsky, kikundi cha watoto wa mjini cha "Family", pamoja na Luteni Kanali Vladmir Putin.

Mnamo mwezi wa Septemba mwaka 1999 kulikuwa na mashambulio kadhaa ya kigaidi huko jijini Moscow na miji mingine nchini Urusi. Majengo kadhaa yalilipuliwa kwa mabomu na watu wengi sana waliuawa. Kremlin/Ikulu ya Urusi ilichukua msimamo wa kuamini kwamba makundi ya magaidi wa Chechen ndio waliokuwa wanahusika na mabomu hayo.

View attachment 1853095

Wakati huo huo, kikundi cha majirani waliokuwa wanaishi katika jengo la ghorofa kumi pale jijini Moscow walikutana na idadi kubwa ya vilipuzi/explosives chini ya jengo lao, na wakaripoti kwa Police/FSB. Wakati huo kundi la wachunguzi wa waandishi wa habari wa kujitegemea walifunua funua ukweli fulani ambao uliunganisha vilipuzi vile na watu walio na uhusiano na Police/FSB.

Television ya NTV ya bwana Gusinsky kwa kupenda sifa ya kufurahisha mabeberu iliamua kuchukua msimamo na kufanya uchunguzi wa kina kama waandishi wa habari - ikichunguza uwezekano wa kwamba Police/FSB ilikuwa ikitengeneza milipuko kwa makusudi katika juhudi za kushawishi uchaguzi ujao na kuhakikisha kundi la "Family linashinda".

Ukweli kwamba kituo cha NTV cha bwana Gusinsky kilianza uchunguzi juu ya milipuko ile kilisababisha hasira kali sana huko Ikulu/Kremlin; kwa kweli, Gusinsky alipewa tamko kali la kuondoa "uchunguzi ule wa huru" kutoka katika kituo chake cha NTV, laa sivyo atakabiliwa na athari ambazo hakuzitarajia.

View attachment 1853104

Gusinsky alikataa katakata kusitisha uchunguzi ule. Kwa kuongezea tu ni kwamba, wadau mbalimbali wa kujitegemea (bila shaka ni vibaraka wa mabeberu) waliishutumu ikulu ya Kremlin na Kanali Putin kwa kuandaa milipuko ile, na kusababisha vita mpya vya Chechen, kwa lengo la kujiongezea umaarufu katika mchakato wa uchaguzi uliokuwa unafuata.

Hii ilikuwa hatua ya mwisho ya kuvunjika kwa uhusiano mwema uliokuwapo mwanzo baina ya Gusinsky na Kremlin, kikundi cha watoto wa mjini cha Family, pamoja na mrithi wa Yeltsin ambaye ni mzee baba Putin. Mnamo tarehe 31 Disemba 1999 Rais Yeltsin alijiuzulu, na Vladimir Putin alikua rais mteule wa Urusi. Putin alikaimu kiti kwa muda kabla ya kula kiapo.

Kujiuzulu kwa Yeltsin kulimleta Putin kuwa Kaimu Urais wa muda wa Russia, na uchaguzi uliofuata mnamo mwezi Mei mwaka 2000 ulimleta Putin mamlakani bila pingamizi.

Moja kati ya matendo ya kwanza kukosolewa hadharani ya rais mpya Putin ilikuwa kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa lengo la kuiweka NTV chini ya udhibiti wa serikali na kuwanyamazisha wapinzani.

View attachment 1853107

Mnamo mwezi wa Juni, ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa serikali ilizindua uchunguzi dhidi ya Gusinsky kwa matumizi mabaya ya pesa (Money Laundering) yakihusiana na kampuni ya utengenezaji ya video ya nchini Urusi iliyokuwa inamilikiwa na ndugu wa bwana Gusinsky. Mnamo mwezi Juni tarehe 13 alikamatwa huko jijini Moscow na kuwekwa lupango/ndani.

Muda mfupi baada ya kukamatwa, wawakilishi wa Gusinsky walipendekeza kwa Ikulu ya Kremlin kuuza "vyombo vile vya habari" kwa kampuni ya serikali ya Gazprom-Media kwa bei ambayo Gazprom-Media inataka, ya Dola za Kimarekani milioni 300, ili pedeshee/papaa Gusinsky aweze kupata uhuru wake.

Baada ya siku tatu za shinikizo kubwa la umma, Gusinsky aliachiliwa kutoka gerezani na kuwekwa kizuizini nyumbani kwake mnamo mwezi wa Juni tarehe 16. Wiki kadhaa baadaye, mnamo mwezi wa Julai, alisaini makubaliano ya kuuza vyombo vyake vyote vya habari kwa Dola za Kimarekani milioni 300.

View attachment 1853109

Mchakato wa mauzo ulisainiwa na naibu Waziri wa wakati huo katika nafasi yake kama mkuu wa Wizara ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ya Shirikisho la Urusi.

Uchunguzi/upelelezi wa makosa ya jinai dhidi yake ulifungwa, na Gusinsky aliondoka Urusi mara moja. Kuanzia wakati huo Gusinsky hakuwahi kurudi teeeeeeeeeenaaa Urusi.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nimependa hapo ulipomalizia Soldier hapo kwenye usisahau
IMG_20220718_142633.jpg
 
Back
Top Bottom