Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,816
- 32,715
Ebwana wanaJF mzuka!
Yaani hii kitu imeniuma sana. Unamiliki nyumba 78 tena za uhakika wengine wanadai thamani siyo chini ya million 100 kila nyumba na nyingine zaidi. Halafu mdogo wako anauza samaki Tandale na kuishi kwenye chumba cha kupanga. Ndio maana Magu hakukawia wala kupoteza muda kumtumbua aliposhika madaraka.
Mafish bana!