Unamficha Kitu gani? Si Umwambie tu?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,207
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana
roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida
gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa
chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu
ndani maskini ya Mungu,picha hata sio nzuri, labda
kwa sababu na yeye sio photogenic, sisemi kwa nia mbaya, ndio ukweli, si kila mtu ni rafiki wa
kamera... watu wanacomment wow nice,ur sexy, good
look, lovely pic,..u look hot,na wengi ni wadada
wenzie...Hot wapi wakati mdada wa watu ametokea
kama Brown bread ya shoprite, kama huwezi
kumwambia pale atleast mu-PM mwambie tu kwa roho safi aitoe au aweke nyingine...Ukimsifia hiyo
kwamba yuko hot, kesho atapiga nyingine kwa sifa
chini ya mnazi atapost itakuwa terrible.
 
Sasa na wewe ungemfuata huko pm umuambie kiroho saaafi, umekuja kumuanzishia tena uzi.

Hebu niambie ni nani mie nikamwambie huko pm aitoe
 
Semegi sio kwamba umepotea?
Hii kitu nahisi umeikopi alafu umeileta kusiko, kwani humu tuna-apload picha????
 
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana
roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida
gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa
chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu
ndani maskini ya Mungu,picha hata sio nzuri, labda
kwa sababu na yeye sio photogenic, sisemi kwa nia mbaya, ndio ukweli, si kila mtu ni rafiki wa
kamera... watu wanacomment wow nice,ur sexy, good
look, lovely pic,..u look hot,na wengi ni wadada
wenzie...Hot wapi wakati mdada wa watu ametokea
kama Brown bread ya shoprite, kama huwezi
kumwambia pale atleast mu-PM mwambie tu kwa roho safi aitoe au aweke nyingine...Ukimsifia hiyo
kwamba yuko hot, kesho atapiga nyingine kwa sifa
chini ya mnazi atapost itakuwa terrible.
Nakufananisha na mtumbuaji.. maana ww huwa unawachana live.
 
Semegi sio kwamba umepotea?
Hii kitu nahisi umeikopi alafu umeileta kusiko, kwani humu tuna-apload picha????
picha za Dp zinawekwaje?
Au jukwaa la picha ukitaka kuweka picha unafanyeje?
Labda unieleweshe
 
Weka picha yake nimpe marks
00f48e462e60543ea052da99adc3ed95.jpg
 
Kila siku nawaambiaga ukweli watu kana hao.. picha kama mbaya unasema tu mbaya..
 
Stunter katika ubora...watu ni wanafiki bro..that is the world we live in!!
 
Uko kundi gani kati haya wewe binadamu wa ajabu sana binadamu muongo sana ama mnafiki? Maana badala ya kutibu tena unatibua
 
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana
roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida
gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa
chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu
ndani maskini ya Mungu,picha hata sio nzuri, labda
kwa sababu na yeye sio photogenic, sisemi kwa nia mbaya, ndio ukweli, si kila mtu ni rafiki wa
kamera... watu wanacomment wow nice,ur sexy, good
look, lovely pic,..u look hot,na wengi ni wadada
wenzie...Hot wapi wakati mdada wa watu ametokea
kama Brown bread ya shoprite, kama huwezi
kumwambia pale atleast mu-PM mwambie tu kwa roho safi aitoe au aweke nyingine...Ukimsifia hiyo
kwamba yuko hot, kesho atapiga nyingine kwa sifa
chini ya mnazi atapost itakuwa terrible.
Ngoja kwanza mkubwa hebu mwambie tu kuleta post tena wakati wataka aambiwe noma. MWAMBIE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom