STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,208
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana
roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida
gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa
chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu
ndani maskini ya Mungu,picha hata sio nzuri, labda
kwa sababu na yeye sio photogenic, sisemi kwa nia mbaya, ndio ukweli, si kila mtu ni rafiki wa
kamera... watu wanacomment wow nice,ur sexy, good
look, lovely pic,..u look hot,na wengi ni wadada
wenzie...Hot wapi wakati mdada wa watu ametokea
kama Brown bread ya shoprite, kama huwezi
kumwambia pale atleast mu-PM mwambie tu kwa roho safi aitoe au aweke nyingine...Ukimsifia hiyo
kwamba yuko hot, kesho atapiga nyingine kwa sifa
chini ya mnazi atapost itakuwa terrible.