Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

.
tapatalk_1547686050670.jpeg

Jr
 
Hili suala nikimueleza mai waifu wangu ati tuache huu mchezo kwa sababu hii na hii çhanzo chake ni sukubasi itakuwa vigumu sana kunielewa. Alikuwa hajui a wala be nilipata tabu sana hadi kuja kumzoesha na sasa hivi bila usukubasi anaona bado show haijakamilika, Basi sukubas ni mimi na zilaaniwe porno asee najuta.
 
Nenda kasome kitabu cha mwanzo "Genesis" kuanzia chapter 1 mpaka 4 utaona na utajua Adam alikuwa na wake wangapi. Read between the lines.
Hii mada kuna wakati nimeipeleka kwenye jukwaa la wakristo huko aaah, ilikuwa ni shida sana asee.

Majibu yao ndiyo utajua kwa nini kuna mistari inasema 'WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom