Hili suala nikimueleza mai waifu wangu ati tuache huu mchezo kwa sababu hii na hii çhanzo chake ni sukubasi itakuwa vigumu sana kunielewa. Alikuwa hajui a wala be nilipata tabu sana hadi kuja kumzoesha na sasa hivi bila usukubasi anaona bado show haijakamilika, Basi sukubas ni mimi na zilaaniwe porno asee najuta.
Nenda kasome kitabu cha mwanzo "Genesis" kuanzia chapter 1 mpaka 4 utaona na utajua Adam alikuwa na wake wangapi.Adam alikuwa na wake wangapi mkuu?? Maana nijuavyo alikuwa na mke mmoja tu aliyepewa na Mungutoka ubavuni mwake (adam) ndiye ajulikanaye kama Hawa/Eva. Nieleweshe kuhusu hilo.
Mshana sometimes unachekesha sana, nini kilichokufanya upost hiyo picha?.
Hii mada kuna wakati nimeipeleka kwenye jukwaa la wakristo huko aaah, ilikuwa ni shida sana asee.Nenda kasome kitabu cha mwanzo "Genesis" kuanzia chapter 1 mpaka 4 utaona na utajua Adam alikuwa na wake wangapi. Read between the lines.