Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Ukiwa na mawazo mgando kama haya hutokaa ujifunze vitu vipya... Dunia ina mengi ambayo bado hujayajua

Jr
Unajua kuna uwongo ambao hutungwa na watu makini Kwa kuunganisha dots Za Matukio ya ukweli na kudivert ukweli halisi Kisha hutengeneza conclusion wanayiojua wao Na huu uongo Utakuja kama kitu kipya katika jamiii na kitapendwa sana na watu wanaopenda kujifunza na kupokea lakini wanaopenda kujifunza vitu vipya na kureason wataona mapungufu na udhaifu wa hayo maneno na kutatupilia mbali wale waliojifunza na kupokea hujitahid kujiaminisha ule uwongo wenye ukweli mchache kuwa ndio ukweli na kuitengeneza imani yao kupitia uwongo huo ni hilo mkuu mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado naona uko mbali kiufahamu... Usitegemee sana kwenye hizi dhana mbili zinazoitwa ukweli na uongo.... Kwakuwa ukweli wako si lazima uwe wangu wala wa mwingine na kinyume chake... Daima chukua uhalisia, jadili uhalisia baki na uhalisia... Hii ndio dira sahihi kwakuwa kwenye uhalisia hakuna ukweli wala uongo

Jr
 
.1.SIJALALAMIKA
2.YUPO!
3. MUME WANGU HAWEZI HAMISHA MANENO YA JF AKAACHA KUNIPA RAHA MKEWE
4. UKIONA HUELEWI KILICHOANDIKWA HALIKUWA ANDIKO LAKO!
Dah ila lile bit ulilonichimba si la dunia hii

Jr
 
Bata batani... Raha rahani
tapatalk_1547573771287.jpeg

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom